Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Kampala, Uganda. Maofisa wa Kikosi cha Kulinda Uvuvi, ambacho ni sehemu ya brigedi ya Jeshi la Majini (UPDF), wako chini ya uchunguzi kutokana na ukatili wanaodaiwa kuwafanyia wananchi wa jumuiya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Updates. Hon Bobiwine is about to land at Entebbe International Airport but some Journalists have been arrested & dispersed by Security Operatives. Kampalafm.com
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanini raisi Museveni anahusishwa na huo wimbo anae juwa naomba tafadhari
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Raisi M7 amekataa kuteua mkuu wa idara ya taifa ya mipango na kuagiza kuajiriwa kwa wataalamu wa fani za sayansi katika wizara na idara zake ili kuweza kuchochea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kupitia msemaji wake Ofono Opondo yautaka Muunganiko huo wa Ulaya kutatua matatizo yake kwanza na kuacha kuingilia masuala ya bara la Afrika Yasema haitakubali EU kuishurutisha kufanya masuala...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wabunge wa Bunge la umoja wa ulaya katika mijadala mkali wa kumuondoa Mseven, Mwasiasa mwingine anayeitwa zhake amepelekwa India Leo baada ya kufanyiwa unyama n.a. sserikal ya Mseven, Tukio...
14 Reactions
204 Replies
18K Views
Maandamano haramu yameshaanza katika viunga mbalimbali vya mji wa Kampala huku Askari wa kutuliza ghasia wakiwa watazamaji tu. Naiomba serikali yangu ifanye kila liwezekanalo ili kuisaidia...
6 Reactions
234 Replies
20K Views
Serikali ya uganda imelazimika kuzipunguza idara zake za serikali ili iweze kupunguza matumizi ili ilipe madeni yake baada ya wadai wake uibana vilivyo
0 Reactions
60 Replies
5K Views
NAMFATILIA LIVE KUPITIA KISIMBUZI CHA DSTV 284 The Americans think that Africans are stupid, but they should know that ‘Stupid people’ sometimes wake up! In all these arrangements, it is...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwanadada mtanzania,ambaye anafanya kazi n.a. shirika la utangazaji la Uingereza BBC amekuwa mahiri katika kufanya mahojiano ya kuchokonoa , na kufanya duku duku la msikilizaji kuisha endapo...
9 Reactions
66 Replies
7K Views
Msemaji wa jeshi la polisi nchini Uganda Emilian Kayima, Ameshambuliwa kwa mawe na raia wenye hasira kali wakati akizungumza na wanachi katika Mazishi ya aliyekuwa askari polisi Muhammed Kirumira...
4 Reactions
45 Replies
6K Views
Kupitia video niliyoiambatanisha kwenye uzi huu mshuhudie Museveni na tambo zake Mwaka 1989 Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni kupitia video niliyoweka alinukuliwa akisema kuwa hawezi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Buyende, Muhammad Kirumira pamoja na mkewe wauawa na Watu wenye silaha usiku wa kuamkia leo > Tukio hilo limetokea eneo la jirani na nyumbani kwake huk Bulega...
3 Reactions
94 Replies
17K Views
Huu waweza kuwa mwanzo wa siasa mpya kwenye eneo la maziwa makuu .
7 Reactions
80 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…