Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Hapa ni maeneo karibia na white house, waganda waishio Marekani wameandamana kushinikiza Mseven amuachie huru Bob wine
2 Reactions
9 Replies
2K Views
habari, Dunia na waganda kwa ujumla wamechoka na jina la Mseven kuwa katika madaraka, hii ishu ya Bobi wine itampeleka pabaya naona western media wameikomalia na hapa wana target yao (museven must...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dereva wa MP Sentamu Kyagulani Robert aka Bobi Wine ameuawa akiwa ndani ya gari huko Arua. Tukio hilo limetokea wakati viongozi wa upinzani wakiwa kwenye kampeni wakimsapoti mgombea huru Kassiano...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Mbunge Robert Kyagulanyi Sentamu, hapa alilazimika kulala maskani yake ya zamani na washikaji zake baada ya kujua kuna Mpango wa kumkamata asizuie mswada bungeni wa kumuondolea Mseven umri wa kugombea
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Hali sio shwari huko Uganda, na kwavile hao ni marafiki zetu kwani M7 alishatuonesha kuwa tutakuwa na biashara ya bomba LA mafuta nasi tutauza gas huko. Jee tumejiuliza hali inayoendelea huko ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Museveni baada ya kuona kwamba moja ya vijana wanaokuja juu anakubalika na wenda ana ushwawishi mkubwa amemfanyia jambo la kinyama bwana Chagulanyi Sentamu. Leo Dakota anasisitiza kwamba Figo...
4 Reactions
48 Replies
9K Views
Hii ni hali nchini uingereza maandamano yakiendelea kushinikiza mseven kuachia madaraka, na kumuachia Bob wine,
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Jitihata za Wakenya na jamii ya kimataifa zimezaa matunda baada ya Museveni kuamua kumuachia jamaa, na akafutiwa kesi kabisa. Lakini hapo hapo ameamua kumkomesha Kizza Besigye ambaye amekamatwa...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Umati wa waumini wa kikatoliki wamejazana kwenye misa ya kumuombea Mwanasiasa wa kizazi kipya anayeteswa na kikongwe Museveni na vikaragosi vyake. Miongoni mwa waumini yupo Kiongozi mwenye...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Maandamano yameanzia 10 Downing Street( Makazi ya Waziri Mkuu) yanaelekea Trafalgar Square eneo maarufu kwa ajili ya wanaoandamana. Ubalozi wa Uganda(Uganda House) IPO opposite na Square hiyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MLIOSAMBAZA PICHA FAKE YA BOB WINE AKIWA NA MAJERAHA USONI KOMENI KUWA MNASAMBAZA VITU MSIVYOKUWA NA UHAKIKA NAVYO. MBONA LEO MAHAKAMANI HATUJAMUONA NA JERAHA LOLOTE USONI ,NA ISITOSHE LEO NDO...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbunge ambaye aliwahi kuwa mwanamuziki nchini Uganda Robert Kyagulanyi jina maarufu Bobi Wine leo anatarajiwa kufikishwa katika mahakama ya kijeshi mjini Gulu kaskazini mwa Uganda. Taarifa hiyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanzoni mwa wiki hii waandamanaji waliingia katika mitaa ya Kampala kudai kuachiliwa kwa mbunge Bobi Wine. Jeshi la Uganda limeomba msamaha ambao ni nadra sana kutokea baada ya askari wake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ndio habari inayozunguka hivi sasa huko BBC , hapa kuna malengo mawili moja ni kuongeza nguvu ya mawakili waliopo ili kuishinda serikali ya Uganda pamoja na dikteta Museveni Mahakamani ...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
-Jamaa wa familia yake walieleza kuwa hawajui anayewatumia vitisho hivyo -Walisema kuwa hawatatishwa na vitisho vyenyewe na kuwa wataendelea kupigania uhuru wake -Walikariri kuwa Bobi alihitaji...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
Meneja wa hoteli akana Bobi Wine kuwa na silaha Mwanamuziki Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine. Kwa ufupi Meneja huyo ambaye pia ndiye mmiliki wa hoteli hiyo alisema wageni wanaoingia...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Mahakama kuu ya Uganda imeridhia mabadilio ya Katiba kuondoa ukomo wa umri wa rais kuwania madaraka ikimaanisha sasa Museveni kutawala maisha maana Tume ya Uganda haina tofauti na bongo wote...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ugandan Women Fight Lazy Husbands With $6 'Sex Tax' Ugandan women are demanding that their lazy, irresponsible husbands either change or pay up for sex. By Godfrey Olukya The Daily Dose JUL...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mawakili 24 wameungana kumtetea Mbunge wa Kyadondo, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine, huku wakimtaka Mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu nchini humo, Med Kaggwa kutumia vyema haki ya kikatiba ili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Polisi nchini Uganda imewatawanya waandamanaji kwa kupiga risasi hewani na mabomu ya machozi katika Barabara ya Bombo, Kisekka na Old Kampala. Maandamano hayo yanapinga na kulaani kukamatwa kwa...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Back
Top Bottom