Bobi wine
Today we spent the whole day in Gulu. Bobi Wine was produced before the military court and charged with three counts of illegal possession of firearms. No one else was permitted to see...
Wakili maarufu Uganda, Male Mabirizi amemfikisha Mwanasheria Mkuu kwenye Mahakama ya Kikatiba, kuhusu Mbunge @HEBobiwine kushitakiwa Mahakama ya Kijeshi badala ya ile ya Kiraia. Pia amefungua Kesi...
Madaktari wa Uganda wamelaani vikali kuteswa kwa watuhumiwa wakiwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
Kufuatia tukio la kukamatwa Mbunge Bobi Wine na kuteswa na vyombo vya usalama, Madaktari hao...
Hayawi hayawi yamekuwa....!!
Tunaweza kusema ni kitendo cha kishujaa kwa mwanamama mke wa Bobi Wine kumpigia simu Rais wa Marekani ili kumshtaki Rais M-7 katika juhudi za kunusuru maisha ya mume...
Imeripotiwa kuwa msanii na Mbunge wa Uganda Bob Wine kwa sasa hawezi kutembea wala kuzungumza baada ya kupigwa sana na vikosi vya usalama, Mbunge huyo alifikishwa jana Mahakamani kwa tuhuma za...
Kupitia Radio famer ya Uganda Buddo,
Mwanasheria amesema kwamba Bobi wine amewekewa injection ya dawa fulani mwilini ambako hajitambui mpaka muda huu, hata wanaomtembelea hawatambui, wala uso...
Umoja wa ma Dj nchini Uganda wameafikiana kupiga nyimbo za mwanamuziki BOBI WINE kwenye kila dakika 15 za baada ya kamili ya saa kushinikizwa kuachiwa kwake
Source:
Ukurasa wa television ya Nbs...
Mchungaji Abel Ayinza Raia wa Uganda anayefanyia kazi zake nchini Marekani amejiua baada ya kuona picha za Mke wake aliyemuacha nyumbani mwezi mmoja uliopita nchini Uganda akiwa anachumbiwa na...
Opposition supporters in Uganda on Monday evening stoned one of the vehicles in President Yoweri Museveni’s convoy as the Arua Municipality by-election campaigns hot up.
“President Museveni’s...
Meet the Contestants of Miss Uganda 2018
Uganda is ready to once more, crown the most beautiful lady in her care. The woman who will represent the pearl of Africa, in beauty, intelligence, and...
Rais Yoweri Kaguta Museveni amemteua dada yake Dkt. Violet Kajubiri-Floelich kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Elimu nchini humo
Dkt. Kajubiri aliapishwa kutumikia cheo hicho mnamo Julai 20 mbele...
KAMPALA, UGANDA: Maandamano yaliyofanywa na raia wa Uganda yameilazimisha serikali ya nchi hiyo kuamua kuipitia sheria ya kodi kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini humo
Waziri Mkuu wa nchi...
Social media tax imposed on July 01 in Uganda has already taken down many small businesses run by young Ugandans.
It is said Facebook/WhatsApp use went down by 75 percent. These are consequences...
Rais wa zamani wa chama cha upinzani cha FDC Uganda, Dr Kizza Besigye na viongozi wengine wa upinzani nchini humo wamelaani mauaji ya Mbunge wa Manispaa ya Arua, Ibrahim Abiriga.
Jeshi la polisi...
Are we heading into that direction?
A story is told of a former Governor of Bank of Uganda who was killed after defying orders from President Idi Amin to print money. It is reported that Joseph...
Kampala, Uganda. Serikali inatarajia kuanza utaratibu wa kuwalipa mshahara watumishi wake kwa kuhesabu siku walizofanya kazi badala ya huu wa sasa wa kuwahakikishia malipo mwishoni mwa mwezi...
Mashahidi Wakristo wakumbukwa Kampala
Waumini wa madhehebu ya kikatoliki wanaoshiriki makumbusho ya mwaka huu wa mashahidi wa Namugongo nchini Uganda wamekuwa wakiwasili mjini Kampala, huku kukiwa...
Wanafunzi wapatao watano wa Chuo Kikuu cha Makere nchini Uganda wamejikuta mikononi mwa polisi baada ya kuandamana wakipinga sheria mpya ya mitandao ya kijamii inayowataka raia wote wa Uganda...
19 Jun 2018
MWANAMKE mmoja nchini Uganda, Dina Ainomugisha (45) amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua mume wake, Gordon Ahimbisibwe na kumzika kwa siri huku akishirikiana na ndugu zake kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.