Ndugu zangu,
Jana niliangalia taarifa ya habari ya usiku kwenye moja ya tv zetu. Ikaja habari kutoka Kampala, kwamba watu wamekamatwa kwa kunyunyuzia dawa za kuhifadhi maiti kwenye nyama na...
UGANDA: Rais Museveni asema kuwa Bunge ni kama Stendi ya Basi, kila Mtu anaenda kwaajili ya kuongea anachotaka lakini utoaji wa huduma kwa Wananchi haufanyiki
-
Ameongeza kuwa kumchagua Mbunge...
Spika wa bunge la Uganda, Rebecca Kadaga amelazimika kusimamisha mjadala wa muswada tata uliokusudia kufuta kipengele cha ukomo wa umri wa rais baada ya mbunge wa upinzani Lucy Akello kulalamika...
Uganda imeondoa wanajeshi wake 281 wanaolinda amani nchini Somalia ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa UN wa kupunguza wanajeshi 1,000 ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.
Nchi zingine ambazo...
Wabunge wa Uganda wameyapitisha mabadiliko ya Katiba ambayo sasa yanamruhusu Rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni kuwania nafasi hiyo ya juu kabisa kwa muhula wa sita.
Baada ya siku tatu za...
IDD Amin Dada alikuwa Rais wa Uganda baada ya kumpindua aliyekuwa Rais wa wakati ule Milton Obote mwaka 1971 na kufanikiwa kuiongoza nchi hiyo kwa miaka Tisa.
Idd amin Dada alikuwa Rais wa vituko...
Uganda is building roads, but will they lead to ‘Rome’?
Charles Onyango Obbo
Posted: 2 Days 3 Hours
We shall return to Uganda shortly, but first go on the Internet and search for an...
Kama ilivyo kawaida Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) likianzisha operation yake nje ya nchi lazima lishinde.Likiwa kongo liliweza kuwakimbiza mbio kongo na kuwavurumisha waasi wa M23 ambao...
Waheshimiwa wakuu wanapojisahau hadi kufikia kuvumbua makosa kila leo, unaweza kuwa ni mwendelezo ambao si mbaya sana kwani hata pale Zimbabwe ilikuwa pole pole hadi uvumilivu ukawashinda...
Serikali ya Uganda yakana tuhuma za ufisadi zinazomkabili Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi hiyo.
Waziri huyo anatuhumiwa kwa kushirikiana na bwana Chi Ping Patrick Ho mwenye umri wa miaka 68...
Juzi karibia Watu wengi tulipigwa na butwaa hasa pale ambapo tuliambiwa kuwa Vifaranga waliokamatwa wote wamepigwa moto tena bila huruma wala nini tukadhani haya mapungufu yapo tu huku Tanzania...
Kitendo cha Rais wa Uganda kulazimisha kutawala milele kwa gharama yoyote , kinafedhehesha sana Jumuiya ya Africa Mashariki na kudhalilisha mno wananchi wa Uganda .
Ikumbukwe kwamba jambo hili...
Madaktari nchini Uganda wamepiga kura kusitisha mgomo wa wiki tatu baada ya serikali kuahidi kuongeza mshahara na kuboresha mazingira ya kazi kwenyeHospitali za umma mwezi ujao
Jumla ya kura 113...
The East African Community’s (EAC) ultimate goal of political federation is being held back by differences over presidential term limits, term durations and age limits in partner states, a member...
Gashumba (white T-shirt) paraded in front of the press. On the desk are several items like stamps and passports that the army said were used to pursue fraudulent activities.
The army has today...
On this day, 48 years ago, Sir Fredrick Edward Kabaka Mutesa the first President of Uganda collapsed and died in London.
Kabaka, once a powerful ruler of the Baganda people, but reduced in his...
October 24, 2017 patrick
Mahakama ya Kampala leo imemtoza mbunge wa Manispaa ya Arua Ibraham Abiriga faini ya Sh40,000 kwa kosa la kujisaidia haja ndogo hadharani.
Amepewa adhabu hiyo baada ya...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dr. Kizza Besigye, amekamatwa na polisi nchini humo kufuatia sakata la baadhi ya wabunge na wananchi nchini humo kupinga suala la ukomo wa urais.
Dr. Besigye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.