Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Mbunge Ibrahim Abiriga ametakiwa kufika Mahakamani kwa tuhuma za kukojoa hadharani, yeye ajitetea asema alikuwa amezidiwa.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Jana niliangalia taarifa ya habari ya usiku kwenye moja ya tv zetu. Ikaja habari kutoka Kampala, kwamba watu wamekamatwa kwa kunyunyuzia dawa za kuhifadhi maiti kwenye nyama na...
5 Reactions
20 Replies
5K Views
UGANDA: Rais Museveni asema kuwa Bunge ni kama Stendi ya Basi, kila Mtu anaenda kwaajili ya kuongea anachotaka lakini utoaji wa huduma kwa Wananchi haufanyiki - Ameongeza kuwa kumchagua Mbunge...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Spika wa bunge la Uganda, Rebecca Kadaga amelazimika kusimamisha mjadala wa muswada tata uliokusudia kufuta kipengele cha ukomo wa umri wa rais baada ya mbunge wa upinzani Lucy Akello kulalamika...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Uganda imeondoa wanajeshi wake 281 wanaolinda amani nchini Somalia ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa UN wa kupunguza wanajeshi 1,000 ifikapo mwishoni mwa mwaka huu. Nchi zingine ambazo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wabunge wa Uganda wameyapitisha mabadiliko ya Katiba ambayo sasa yanamruhusu Rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni kuwania nafasi hiyo ya juu kabisa kwa muhula wa sita. Baada ya siku tatu za...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
IDD Amin Dada alikuwa Rais wa Uganda baada ya kumpindua aliyekuwa Rais wa wakati ule Milton Obote mwaka 1971 na kufanikiwa kuiongoza nchi hiyo kwa miaka Tisa. Idd amin Dada alikuwa Rais wa vituko...
12 Reactions
14 Replies
4K Views
Uganda is building roads, but will they lead to ‘Rome’? Charles Onyango Obbo Posted: 2 Days 3 Hours We shall return to Uganda shortly, but first go on the Internet and search for an...
1 Reactions
6 Replies
930 Views
Kama ilivyo kawaida Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) likianzisha operation yake nje ya nchi lazima lishinde.Likiwa kongo liliweza kuwakimbiza mbio kongo na kuwavurumisha waasi wa M23 ambao...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Waheshimiwa wakuu wanapojisahau hadi kufikia kuvumbua makosa kila leo, unaweza kuwa ni mwendelezo ambao si mbaya sana kwani hata pale Zimbabwe ilikuwa pole pole hadi uvumilivu ukawashinda...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Serikali ya Uganda yakana tuhuma za ufisadi zinazomkabili Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi hiyo. Waziri huyo anatuhumiwa kwa kushirikiana na bwana Chi Ping Patrick Ho mwenye umri wa miaka 68...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Juzi karibia Watu wengi tulipigwa na butwaa hasa pale ambapo tuliambiwa kuwa Vifaranga waliokamatwa wote wamepigwa moto tena bila huruma wala nini tukadhani haya mapungufu yapo tu huku Tanzania...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kitendo cha Rais wa Uganda kulazimisha kutawala milele kwa gharama yoyote , kinafedhehesha sana Jumuiya ya Africa Mashariki na kudhalilisha mno wananchi wa Uganda . Ikumbukwe kwamba jambo hili...
7 Reactions
45 Replies
6K Views
Madaktari nchini Uganda wamepiga kura kusitisha mgomo wa wiki tatu baada ya serikali kuahidi kuongeza mshahara na kuboresha mazingira ya kazi kwenyeHospitali za umma mwezi ujao Jumla ya kura 113...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The East African Community’s (EAC) ultimate goal of political federation is being held back by differences over presidential term limits, term durations and age limits in partner states, a member...
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Gashumba (white T-shirt) paraded in front of the press. On the desk are several items like stamps and passports that the army said were used to pursue fraudulent activities. The army has today...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UGANDA: Spika wa Bunge amlima barua Rais Museveni akitaka maelezo kwanini Maafisa Usalama waliokuwa wamevalia kiraia walivamia Bunge. --------- The Speaker of Parliament, Ms Rebecca Kadaga, has...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
On this day, 48 years ago, Sir Fredrick Edward Kabaka Mutesa the first President of Uganda collapsed and died in London. Kabaka, once a powerful ruler of the Baganda people, but reduced in his...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
October 24, 2017 patrick Mahakama ya Kampala leo imemtoza mbunge wa Manispaa ya Arua Ibraham Abiriga faini ya Sh40,000 kwa kosa la kujisaidia haja ndogo hadharani. Amepewa adhabu hiyo baada ya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dr. Kizza Besigye, amekamatwa na polisi nchini humo kufuatia sakata la baadhi ya wabunge na wananchi nchini humo kupinga suala la ukomo wa urais. Dr. Besigye...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…