Striking doctors have said they can return to work as negotiations on their demands continue if three key conditions are met, and surprisingly the trio doesn't include the pay raise.
On the pay...
Mkutano wa dharura uliofanyika kati ya Chama Cha madaktari wa Uganda na Waziri Mkuu wa Nchi hiyo umeshindwa kufikia makubaliano
Mkutano huo uliohudhuriwa na Waziri Mkuu Ruhakana Rugunda na...
Magufuli to lay EA oil pipeline foundation stone in Hoima
The Independent November 6, 2017Business, The News Today Leave a comment 290 Views
FILE PHOTO: Museveni (middle) and Magufuli (right)...
Rais Yowei Museveni aliwaambia maelfu ya waumini wa Kikatoliki jana kwamba Papa Francis alimfanya maombi mkono wake ulipovunjika na ukapona.
Museveni ambaye amekuwa rais wa Uganda kwa zaidi ya...
Habari hii nimeitohoa kutoka kwenye moja ya thread inayozungumzia Historia ya
"Shekilango" , ndani yake imeelezea kwa ufupi ni kwa namna gani serikali ya Tanzania iliipigania Uganda.
Watanzani...
Tume ya mawasiliano nchini Uganda (UCC) imepiga marufuku kwa vyombo vya habari nchini humo kufanya 'interview' na mwanamuziki Bobi Wine, baada ya kuonekana kinara kwenye suala la kupinga ukomo wa...
Mhh, huyu mama katoa mpya! Yaani hata nashindwa kuelewa alimaanisha nini kwa hii kauli yake.
Janet Museveni na mabinti zake.
MKE wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Janet Museveni amesema kuwa...
Kwa kile kinachoonekana kuwa hali imekuwa tete nchini Uganda, baada ya mchakato kwa kubadili vifungu vya katiba vitakavyomwezesha Rais Mu7 kuwa na nafasi zaidi ya kugombea Urais wa nchi hiyo...
Ninachokionaa leo ni muendelezo tu, niko Uganda nako huku Nakumatt wamefungiwa na URA branch tatu kwa kutolipa kodi na kutowalipa waliokuwa wakipeleka bidhaa.
Baada ya kutonywa hali halisi...
Wanafunzi wasichana watano wa 'Standard school' wamelazwa hospitalini baada ya moto kuwaka na kuchoma bweni zima la wasichana, wanafunzi wa 'senior four (S4) siku ya alhamisi. Tangu hapo Polisi...
Kweli malipo hapahapa duniani
Baadaa ya kukamata watu ovyo kufurahisha kupata wahusika waliomuua igp wa Uganda hon kaweesa hatimae koti imewaachia huru
Pamoja nakuwaachia huru wefungua kesi kwa...
Kuzorota kwa Uchumi wa Kenya: Rais Uhuru Kenyatta amemtupia lawama Mgombea Urais, Raila Odinga(NASA). Amedai maandamano ya wapinzani yanachangia.
Asema wanaweza kuendelea na maandamano lakini...
Polisi nchini Uganda wamezifunga ofisi za chama cha upinzania cha 'Forum for Democratic Change (FDC)' kutokana na kupanga kufanya maandamano kupinga ukomo wa umri wa mgombea urais. Polisi wamekaa...
Niliwahi kukutana na jamaa mmoja mganda huko Kakurezato Japan, tukiwa pamoja mafunzoni na akanishangaza sana kuhusu yule aliyekuwa adui yetu watanzania miaka ya 70 nduli Idd Amin Dada.
Alisema...
Spika wa Bunge la Uganda, Rebecca Kadaga, ameamuru rasimu ya muswada unaolenga kubadili kifungu cha katiba kinachoweka mkomo wa umri wa rais, upelekwe kwa wananchi.
Hatua hiyo imeungwa mkono na...
Vitu vinavyokisiwa kuwa guruneti vimetumiwa kushambulia nyumba za wabunge wawili wa upinzani nchini Uganda, mmoja wao akiwa ni mwanamuziki ambaye sasa ni mbunge Bobi Wine, kwa mujibu wa gazeti la...
Spika wa Bunge la Uganda Rebecca Kadaga amewasimamisha waziri na wabunge 25 kuhudhuria vikao vya bunge kwa madai ya kushiriki katika vurugu ambayo ilimlazimisha kuahirisha kikao siku ya Jumatano...
Fujo zilizotokea kwenye bunge la Uganda zimepelekea kusitishwa kwa matangazo ya moja kwa moja ya kutoka bungeni yanayochochea umma, kwa mujibu wa habari iliyotoka kwa mdhibiti mawasiliano wa...
Wabunge nchini Uganda wamepigana ndani ya ukumbi wa bunge wakiwa katika siku ya pili ya kikao cha kujadili wa muswada wa kuondoa ukomo wa miaka ya kugombea nafasi ya urais kwa mjibu wa katiba ya...