Baraza la Viongozi wa Dini nchini limetoa wito kwa serikali kuruhusu hoja ya ukomo wa umri wa rais iamriwe na wananchi wote kwa kupiga Kura ya Maoni.
Baraza hilo linalojumuisha wakuu saba wa...
Spika Jacob Oulanyah ameahirisha mjadala kuhusu ukomo wa umri wa rais hadi wiki ijayo baada ya kuona polisi wengi wamesambazwa kuzunguka jengo la Bunge, maeneo kadhaa ya jiji la Kampala na...
To my brothers and sisters from Uganda. I humbly ask you help me get information to where I may get Japanese motors and bikes spare parts. It is said there in Uganda these things are sold at a...
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema upelelezi kubaini sababu za ajali iliyosababisha vifo vya Watanzania 13 waliokuwa wakitoka harusini nchini humo unaendelea.
Waziri wa Ofisi ya Rais...
Huyu ni Kiiza Besigye ambaye ni Mpinzani wa ukweli nchini Uganda akitoa maoni yake khs uchaguzi uliofanyika nchini Kenya, sasa linganisha na chadema yetu.
Besigye anaongelea matatizo...
Takriban watu saba wametiwa nguvuni katika mji mkuu wa Uganda Kampala, kufuatia maandamano ya kupinga mapendekezo ya muswada wa sheria unaoondoa kikomo cha umri wa mtu anayegombea urais.
Katiba...
Waziri wa Afya, Sarah Opendi avaa Hijab na kujifanya mgonjwa katika hospitali ya Naguru ambayo ni ya Serikali na kubaini tabia ya rushwa ilivyokithiri.
Kwa kutokujua kwamba ni Waziri, Daktari...
I am a Tanzanian, unbiased, open minded, great thinker; Interests declared.
Well I have a discussion to propose and I present my argument as follows;
Personally I find the country (Uganda) as a...
Brigadier Isaac Maliyamungu
One of the most evil was this Lieutenant who was in charge of quelling dissent in the army. Before he joined the army, he had been a gatekeeper at nyanza Textile...
Wabunge kutoka chama kinachotawala nchini Uganda NRM wamekubaliana kuwasilisha mswada ambao unapendekeza kuondewa miaka ya kuwania urais nchini Uganda.
Ikiwa watafaulu mswada huo utamwezesha Rais...
Ukifanikiwa kutembelea nchi ya Uganda utakutana na simulizi nyingi za kupendeza kumhusu ndege mtanashati na mwenye mvuto sana.. Ndege huyu anaitwa Crane.
Kwa taifa la uganda anapewa nafasi kubwa...
Chama cha Mawakili nchini Uganda(ULS), chalaani vikali tukio la kupigwa risasi Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Tundu Lissu.
- Mbunge huyo wa Singida Mashariki alishambuliwa kwa...
Kikosi cha timu ya taifa ya Uganda maarufu kama Uganda Cranes. Picha/MAKTABA
Na GEOFFREY ANENE
Imepakiwa - Thursday, August 31 2017 at 17:38
Kwa Mukhtasari
Uganda huenda ikawa timu ya kwanza...
ALSF weighs in on Uganda’s oil refinery project
PrintEmailDetailsWednesday, 30 August 2017 06:03
With an aim to build and operate a crude oil refinery worth US$4bn, which will eventually process...
UGANDA: Muswada mpya wa Sheria ya Ndoa uliopendekezwa umetoa fursa ya kuvunja ndoa iwapo Mume au Mke atakataa kushiriki tendo la ndoa kwa miezi 3.
Pia muswada huo umependekeza kuvunjwa kwa...
Wafanyikazi sita wa baraza la mji wa Ntugumo nchini Uganda wamesimamishwa kazi kwa madai ya kutovaa tai.
Kulingana na gazeti la Daily Nation, walisimamishwa kazi na afisa mkuu Kweyamba Ruhemba...
Sheikh Kamoga after being sentenced to life imprisonment. Photo by Abubaker Lubowa
By Anthony Wesaka & Juliet Kigongo
The International Crimes Division of the High Court has sentenced the leader...
Hii Kufuru Sasa...Yaani Milioni 125 Kwa Kalamu 35?!!
Bunge la nchini Uganda, linafanya uchunguzi juu ya ufujaji wa mamilioni ya shilingi kutokana na ununuzi wa kalami 35 kwa shilingi milioni 125...