Habari wanaJamiiForums,
Wakati raisi mteule wa Uganda Yoweri Museveni akitarajiwa kuapishwa hapo kesho, mamlaka ya mawasiliano nchini Uganda Uganda Communication Commission (UCC) tangazo la...
The Uganda Scheme was a plan in the early 1900s to give a portion of British East Africa to the Jewish people as a homeland. It drew support from Theodore Herzl, a prominent Zionist, as a...
Serikali ya Uganda inahitaji fedha za haraka shilingi Billioni 2.6 kwa ajili ya kuongeza ofisi za wabunge 120 ambao wamekosa sehemu za kufanyia kazi kutokana na ongezeko la idadi ya wabunge ,hivyo...
Wakati mashine ya kutibu cancer kwa njia ya mionzi ikiwa imeharibika kwenye hospitali kuu nchini Uganda na kusababisha wagonjwa zaidi ya mia mbili kukosa tiba kila mwezi, Museveni ametumia...
Wanajamvi,
Kuna habari sina hakika eti ya kuwa majengo Chuo Kikuu cha Makerere yameanguka!
Je, kuna ukweli wowote?
===============
3 confirmed dead in Makerere building collapse
Police has...
Rais Yoweri Museveni wa Uganda, amezikemea nchi wafadhili zenye tabia ya kuilaumu serikali yake na kutaka kuwapangia mambo. “Huwa sipendi wageni wakanipa amri juu ya Uganda, kwani hii ni nchi...
"Maybe It is Time To Talk to Your Armed Opposition," Ugandan Yoweri Museveni Tells Rwandan General Paul Kagame
by AFROAMERICA NETWORK on NOVEMBER 10, 2013
Ugandan President, Yoweri Museveni...
Mwana wa kiume wa kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dkt Kizza Besigye amechaguliwa kuwa rais wa chama cha mijadala chuo kikuu cha Oxford.
Anslem Besigye alikuwa ametengeneza video fupi ya kuomba...
From IGP Uganda
Diplomats walikwenda na kuona Besigye hana shida tena baada ya uchaguzi tumeamua leo kuondoka.
Hata hivyo tutakuwa tunamfuatilia akienda kinyume na maagizo ama kutenganisha...
By: GASHEGU MURAMIRA
PUBLISHED: April 05, 2016
A senior commander of the FDLR militia has been arrested in Kampala, Uganda.
Based in the Democratic Republic of Congo, FDLR is a militia group...
President Museveni visits Mulago
hospital quietly, finds medical
officials just lazing - Observer
Early last week, President
Museveni quietly visited Mulago
on Tuesday and Naguru referral...
Kizza Besigye katika picha.
Mkuu wa kikosi cha polisi nchini Uganda amesema kuwa atawaondoa maafisa wake nje ya nyumba ya kiongozi wa Upinzani Kizza Besigye mara moja.
Besigye amekuwa akihudumia...
Mahakama nchini Uganda imetupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya Urais nchini Uganda, matokeo yaliyompa ushindi Museveni na kuwa Rais wa awamu nyingine tena.
=====================
Court finds...
Kisa cha mwanamume mmoja nchini Uganda kumkata mkewe mikono na masikio kimezusha hisia mseto za hasira na huzuni kuhusu visa vya ukatili majumbani hasa dhidi ya wanawake.
Kitendo hicho...
Katika mazungumzo hayo pamoja na mambo mengine wamekubaliana kujengwa kwa bomba la kusafirisha mafuta kutoka Bandari ya Tanga nchini Tanzania hadi nchini Uganda.
Rais Museveni amemtembelea Rais...
Ofisi za Mawakili wanaosimamia kesi dhidi ya Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda zimevamiwa na watu wasiojulikana.
Mawakili hao ni wa Amama Mbabazi anayepinga matokeo na uchaguzi mzima uliompa...
Hiyo ni kauli ya Rais Mteule wa Uganda, Yoweri Kaguta Meseveni alipokuwa akihojiana na mtangazaji wa BBC Swahili Zuhura Yunisi. Rais Museveni amedai kuwa wapinzani Afrika wanapenda kuendesha siasa...
Top US republican presidential hopeful DonaldTrump has said that Ugandan President Yoweri Museveni belongs in prison and not State House.
Speaking in South Carolina while vying for the hearts and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.