M mwanafunzi nasoma njee ya nchi sehemu nilipo Vifaa vya hospital bei rahisi na kwa makampuni niliyoyafatilia yote yapo iso certified nimebakisha mwaka na nusu katka masomo yangu,kwa mda uliobaki...
Habari wapenda humu ndani nina uza pump ya kumwagilia inch tatu aina ya boss kwa laki tatu na thelathini mpira wake laki moja na arobaini mpira ni mitaa mia vitu vyote bado vipya kabisa havitumika...
Habari wana jamii, tunakukaribisha katika ziara ya mafunzo ya fursa zitokanazo na bidhaa za kilimo nchini Kenya February 2019,
Tafadhali fungua kiambatanisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataalam Wang humu, ninataka kulima alizeti, nataka kutumia dawa ya kuua magugu.
Ni dawa ipi inafaa kuua magugu kwenye shamba la alizeti?
Asanteni na karibuni kwa ushauri.
Sent using Jamii...
Wadau, natafuta kwa udi na uvumba kama kuna dawa ya kuzuia magugu yasiote. Yananisumbua sana, kila siku yanaoteana tu. Nipo Dar es Salaam.
Natanguliza shukrani.
Habar zenu wadau! Naomba uuliza ili nipate faida kubwa katika ufugaji huu je! Ni vema nianze na kuku wangapi? Msaada tafadhari. Na lenga sana kuku wa mayai
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyekujua dawa ya ugonjwa wa Kuku kutokwa na Maji Maji mdomoni na puani mithiri ya makamasi. Naomba ushauri please [emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu ,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nahtaji kulima alizet ila sifahamu mashine ya kupandia akizet ipoje na inauzwa bei gani ..kwa mwenue uzoefu na hiyo anaweza tuma mchango hapa...
Nipo Dar maeneo ya Mbezi, nimelima nyanya aina ya Money Maker kama nusu heka huku. Ninamwagilia kwa maji ya kisima nilichochimba. Tatizo nilipatalo ni kupukutika kwa maua kila zinavyoanza kutoa...
Pole sana kwa kuhangaika wakuu !
Panya kutokuwepo kabisa sio nzuri kwa afya ya mazingira ,kisayansi huwa wana kila kiumbe ni muhimu duniani hata nyoka na mbu,tatizo kuna muda balance inaharibika...
Ndugu natarajia kuvuna nyanya zangu kwa kipindi hiki cha January natafuta soko nzuri kwa tenga kuanzia 50 Na kuendelea nakuletea ulipo kikubwa maelewano
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo... Nina shamba langu maeneo ya kisarawe mkoa wa pwani nimejipanga mwaka huu nilime muhogo.
Naomba kuuliza...
incubator in machine ya kutotoleshea vifaranga salama.
ni rahisi kutumia na imara.
https://amzn.to/2QreLdf
EDITED
SORRY GUYS, HIZI MASHINE HAZISAFIRISHWI KUJA TANZANIA.
SIKUFATILIA...