Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

habari wana jf naomba msaada wenu kama kuna mtu anaelima kilimo cha mpunga shadidi nahitaji kuingia katika hiki kilimo kwani nimeona ni chenye tija na manufaa. naomba kama unafanya hichi kilimo ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wana jf naomba msaada wenu kama kuna mtu anaelima kilimo cha mpunga shadidi nahitaji kuingia katika hiki kilimo kwani nimeona ni chenye tija na manufaa. naomba kama unafanya hichi kilimo ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninahitaji mtaalamu wa nyuki kuendesha na kusimamia kalenda ya ufugaji nyuki, uvunaji na packing. Awe na elimu ya Diploma au cheti na uzoefu wa mambo ya nyuki na awe tayari kukaa shambani kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
KILIMO NI MWALI HAJAREMBESHWA Tanzania imebarikiwa sana kwa biashara ya kilimo. Hebu tizama hii: 1. Imezungukwa na nchi nane sugu kwa njaa 2. In maziwa makubwa kama Victoria, Nyasa, Tanganyika...
4 Reactions
3 Replies
3K Views
Natumaini humu Kuna wataalamu na wasomi. Nimeamua kuwekeza ktika kilimo hasa Cha umwagiliaji. Hasa nahitaji washauri na wataalamu juu ya drip irrigetion gaharama zake na ufundi pamoja na vifaa kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kutokana na kuombwa sana kufundisha kuhusu kilimo hiki nimekuja na wazo tofauti nakaribisha watu kumi wa kujifunza kuanzia upandaji wake hadi kuvuna kila mtu atachangia tshs elfu 50 itatumika kwa...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nakuja tena jukwaani kwa mara nyingine kutaka kujifunza zaidi kutoka kwenu! Leo ningependa kupata elimu toka kwenu juu ya kitu kinachoitwa Giligilani au Coriander kwa lugha ya kigeni...
1 Reactions
28 Replies
19K Views
habarini wadau wa JF Kwa kweli mwaka huu nimeamua kuaanza ufugaji wa kuku wa kienyeji Ningependa ushauri wenu kwani niataka kujua vitu gain nahitaji ili niweze kufuata ndoto yangu ya ufugaji wa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanabodi, Ni wakati serikali kupitia wizara ya Mifugo na Uvuvi kuangalia mienendo ya breeders wa kuku wa nyama wanavyoshindana na wafugaji wadogo kwenye soko. Nadhani ni wakati wa vyombo...
4 Reactions
58 Replies
6K Views
It's a new teacher's college looking for self driven Female senior Tutor with leadership skills and enough teaching exprience at least of btn 5 and 10 yrs. Must be a graduate in B.A Educ...
0 Reactions
1 Replies
540 Views
Kuku wangu wanatoa kinyesi cheupe kama chokaa, ni dalili ya ugonjwa gani na nitumie dawa gani
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu napataje kuku chotara. Mkoani iringa Kutaja bei ni muhimu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Karibu tuelimike kuhusu ufugaji samaki
0 Reactions
1 Replies
919 Views
kama kuna anayejua dawa nzuri ya kuondoa magugu kwenye shamba la mpunga anijuze tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unapofikiria kufanya mradi wa ufugaji wa kuku , hitajio la kwanza na la muhimu ni kuwa na mabanda bora ya kufugai kuku wako. Kwa bahati mbaya sana ujenzi wake umekuwa ghali na hivyo kuwakatisha...
6 Reactions
14 Replies
14K Views
Specimen A
0 Reactions
2 Replies
659 Views
Huu ugonjwa gani? tiba je? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Muhimu sana wakuu. Tanzania yetu, ya viwanda inahitaji maendeleo na uwekezaji wa kudumu katika kilimo na biashara. Kilimo cha miti, ni kilimo kikubwa na kina faida sana kwa nchi yetu, kutokana na...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hbr za leo wakuu,tafadhali naomba msaada ktk maswala yafuatayo: 1. Je naweza kuwachanja kuku wangu chanjo ya ndui japo muda umeshapita? 2. Ni sahihi kuwachanja kuku chanjo hii wakiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom