Kwenye kilimo cha mpunga hipi ni njia sahihi ya kupanda mpunga
Kumwaga kienyeji
Kupanda kwa punje
Kupandikiza
Naomba kujua maana nipo shamba sasa
0716671919
Ni ukweli usiopingika kwamba kupata faida katika kilimo kwa kufanya kilimo biashara kuna hitaji mambo mengi sana lakini katika vitu muhimu zaidi ni timing ya soko kwa zao husika.Wakulima wengi...
Ndugu zangu nataka kuwekeza kwenye kilimo cha nyanya kwa kutumia Greenhouse. Anayefahamu gharama za kuandaa mwanzo mpaka mwisho anisadie kwa upande wa Morogoro.
Asanteni
Nataka kuingia kuanza ufugaji wa Kuku aina ya kroila ila tayari nina Kuku wa kienyeji kama 15 na kanga 22.Swali
1. Kuna madhara gani ya kuchanganya Kuku wa kroila na wa kienyeji?
2. Kuna mafhara...
Habari zenu. Mimi nafikiria kuwekeza kwenye kilimo. Natarajia kuwa mwekezaji wa kati, sio mkubwa kama azam au mdogo kabisa, ila wa kati. Nachotaka kufahamu ni kwamba, kilimo kinalipa tz sana sana...
Habari jf. Jamani nina changamoto ya fivo vya vifaranga kila ninapo jaribu kupiga hatua ya ufugaji wa kuku wa kienyeji, kanuni zote muhimu za ufugaji nazifwata, sasa sijui nakosea wapi?
Mtaalam nimerudi tena, naipenda kazi yangu kwa kuwa inagusa maisha ya watu wengi na Furaha kubwa ni pale unapoona utaalamu wako unasaidia wengine
Leo naomba nidokeze kidogo kuhusu uvunaji wa...
Ninazo kilo 60 za kinyesi cha popo sasa maelekezo ya matumizi yake kama mbolea shamba la mahindi yamekua mengi mno tofautitofauti mwenye uelewa sahh anisaidie
Habari za jioni wakuu,
Mimi naamini katika kilimo katika kuufikia uhuru wa kipato. Nimekuwa na ndoto ya kuwa miongoni mwa wakulima mwenye mafanikio makubwa.
Changamoto pekee inayonikabili mpaka...
Jamani huko vijijini watu wamekuwa wakitumia ulimbo kuwategea ndege wadogo mashambani au sehemu za vichaka ndege wengi wanapotua. Huo ulimbo unatokana na utomvu mzito wa miti fulani ambao...
Heshima kwenu wana JF, Mimi ni mfugaji mdogo Wa kuku Wa kienyeji kwa ajili ya mboga nyumbani, ufugaji huo nimeanza mwezi Wa nane mwaka huu. Lakini wiki iliyoisha kuku wameanza kuugua na wengine...
Wakuu habar zenu, nina vifaranga vyangu vya kuchi vimetotolewa jana,kuna mtu alinipa dawa za kuwapa ila nimeshindwa kujua namna gani ya kuwachanganyia. Amenipa Neoxychick kanambia niwachanganyie...
Habari wanajukwaa,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nimekuwa mfugaji wa kuku wa nyama kwa miaka kadhaa na nimefikia wakati nimenotice soko la kuku kutokuwa zuri hususani kuelekea...
Wadau hongereni kwa ujasiliamali....
Naomba ushauri nina 3M nataka nianze ufugaji wa kuku wa kisasa.
1. Naomba kujua ukubwa na sifa kwa ujumla wa banda lake
2. Kuku wa mayai au nyama yupi...
Wanaohakiki Korosho wanawaambia wakulima waonyeshe mashamba + hati za umiliki wa mashamba hayo, wakishindwa kufanya hivyo korosho zinachukuliwa na Serikali na hawalipwi hata senti
Hiv huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.