Wakuu habari.
Wakuu hapa nilipo nilianzisha greenhouse japo haikufanya vizuri. Mtaalamu wangu akashauri nitafute udongo wa aina fulani uliokuwa unapatikana mkoa wa pili so nikakodi gari kwenda...
Ndugu wanajanvi, nahitaji kufanya kilimo cha mpunga cha umwagiliaji, naomba mwenye habari za kilimo hicho ikiwa ni pamoja na jinsi ya kupata mashamba, gharama za ukodishaji, gharama za kilimo na...
Wakuu naombeni msaada kwa mwenyeji wa mkoa tajwa hapo juu.
Mimi ni kijana niliyemaliza chuo CBE dar es salaam.
Kutokana na ajira Kuwa ngumu nimeamua bora nijihusishe na kilimo cha karanga...
Habarini wana Jf.
Naomba msaada kwa anayejua namna ya kuhifadhi vitunguu.Nahitaji kuhifadhi peto kama 10 hivi kwa muda wa miezi miwili hadi mitatu hivi.
Natanguliza Shukrani.
Maisha ni changamoto sana.
Ukiwa mfugaji wa kuku nyumbani kwako unakaribisha panya kwa kasi sana kupitia vyakula vya kuku kama pumba, paraza ,uduvi , dagaa n.k !
Ukishaona tu kuna panya nyumbani...
Habari wana Jamvi, Naomba mnisaidie, matunda ya mipapai yangu yamepungua utamu (sukari) sijui ni kitu gani naomba anyefahamu tatizo tafadhali anijulishe. Ni mbeu ya Malkia F1
Habari ndugu zangu?
Poleni na majukumu ya kila siku, mimi nina swali naomba mwenye kufahamu utatuzi sahihi anisaidie hapa.
Tatizo la mizizi kuoza katika kilimo cha green beans naitaji kufahamu...
Habarini ndugu zangu?. Samahanini kwa usumbufu....ninaomba mnisaidie kujua ni eneo gani (kitongoji/wilaya/mkoa) zinapopatikana ndizi za kuiva kwa wingi...na itapendeza zaidi kama nikasaidiwa kujua...
Habari zenu wadau. Poleni na majukumu. Nna trekta nakaribia kukamilisha ununuzi wake rasmi kwa ajili ya kuchapa kazi na mpango wangu ni kulikodisha kwa wadau wataolima kwa kutumia trekta naomba...
Baada ya wafanya biashara kugoma kununua korosho kwa bei ya zaidi ya shilingi 3000 hatimaye Serikali yaamua kijitosa katika hili na kuamua kununua kwa bei ya sh. 3300 kwa kilo. Hii ni moja ya kazi...
Habari wadau humu ndani.
Nina shamba lenye ukubwa wa eka 30 Wilaya ya Mkuranga ndani ndani huko.
Mipango yangu ni kupanda mazao ya kudumu eka 20 kati ya hizo 30 msimu wa masika yajayo.
Naomba...
Kuna video ina trend, twitter inamuonesha ofisa mmoja wa serikali akiwa na waandishi wa habari kwenye ofisi ya kampuni inayomilikiwa na mama wa kizungu mmoja wakijibizana kwa madai kuwa kampuni...
Wadau, naomba msaada wa kupata elimu zaidi juu ya utengenezaji wa funza kama chakula cha kuku. na pia naomba kufahamu kama hawa funza kwa hapa Tanzania wanauzwa, basi naomba kufahamu ni wapi...
Wakuu hili swala la Kujitengenezea mwenyewe Chakula Cha Kuku si swala la Kitoto hata Kidogo, Ni kazi Moja ngumu kabisa, kuliko hata Kufuga kwenyewe, na that is why watu wengi wanaona ni Bora...
Naitwa goya mnanda ni mkulima wa mpunga nafanya shughul zangu mkoa wa morogoro kilombelo ni mkukima wa kat katika shughul zangu kule shamba nakutana na changamoto mbalimbali aswa matumiz ya dawa...
Wakuu habari..
Natumaini mu wazima
Lengo la uzi wangu ni kutaka kujua kiundani kuhusu kilimo cha karangaa....
1.Mkoa mzuri unaofaa kwa kilimo hicho
2.mahitaji kwa ajili ya kilimo
3.Total cost...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.