Horticultural Farming for Improved Production Economy (HoFIPE) is a project that desires to address youth employment through the agricultural sector in Tanzania. The project intends to involve...
Nimenunua epson printer L800 na hapa mjini studio zinasafisha picha kwa tsh 200 picha ya size 4 kwa 6, je mimi nikisafisha kwa 200 nitapata faida? Msaada wadau
Wana jf Habari za majukumu,niko Serengeti mkoa wa Mara na jishughulisha na kilimo ila kwa sasa nahitaji kufanya kisasa kidogo nahitaji kujenga green house ya mita 15 kwa 25 kwa ajiri ya nyanya au...
Kwa wastani hatua ya mtu mzima ina urefu wa futi 2.5. sawa na 75cm au 0.75m. Sasa ukipimiwa upana wa hatua 70 na urefu wa hatua 70 utakuwa na eneo lenye urefu wa 70x0.75 = 52.5m. Upana pia utakuwa...
Naitwa benjamin l. Mbilo
Nimtaalamu wa masuara ya kilimo na mifugo(general in agriculture) kwasasa nnapatikana iringa mji mdogo wa ilula. Kwasasa najishuhurisha na utoaji elimu na ushauli juu ya...
Nina wazo la kuilima vitunguu maji, nipo kanda ya ziwa (ng'wanza), nina wazo la kulima vitunguu maeneo ya Magu karibu na mto simiyu, changamoto ninayoiona ni usitawi wa zoa hili katika eneo hili...
Wakuu nataka kujiingiza kwenye kilimo maeneo ya Kibiti. Kuna mwenye mawasiliano ya bwana shamba wilaya ya KIBITI ili niweze kupata ushauri kwake juu ya mazao ya kulima, aina za mbegu na muda wa...
Habar wanajamvini.....kwa miaka kadhaa wakulima wa zao la mahindi hasa mikoa ya nynda za juu ksini na magharib tumekua wazalishaaji wakuu wa zao hili kwa muda sasa ni zao pengine naweza sema...
Dawa za kusafishia, kungarisha na kupendezesha vioo
MAHITAJI
-sabuni ya maji
-vinegar
maji
JINSI YA KUTENGENEZA
Tia maji lita 10 kwenye plastic,sabuni ya maji lita 1,vinegar lita 1 kisha koroga...
Tar 12/10/2018 mmoja kati ya viongozi wa benki ya maendeleo ya kilimo (Tanzania Agricultural Development Bank) alikuja kuongea na wanachama cha ushirika Madibira. Ushirika unawanachama 3147 ambao...
Nimelima matikiti maji kwa mara ya pili sasa, changamoto yangu juu ya utiaji wa mbolea ya viwandani katika miche.
mana inakufa sana nikishatia mbolea.
Natumia kizibo cha take away kama kipimio...
Habari wadau..
Naomba kuuliza kwa wakulima wa matikiti.
Nimelima sana tikiti lakini wakati wa kiangazi ambazo huwa nakata maji kuanzia siku ya 50 mpaka 55. Nalimia maeneo ya Kigamboni.
Je...
Habari zenu wana jf natumaini mnaendelea vizuri naomba kujua ni aina gani ya kilimo cha biashara ambacho kina lipa na chenye soko na upatikanaji wake (mbegu)
Habari wakuu. Poleni na mihangaiko.
Wakuu tupo vijana wawili sisi ni wanafunzi kutoka vyuo tofauti UDSM na SUA tumekaa pamoja na kuamua rasmi kuingia katika kilimo wote tulikua JKT mwaka fulani...
Habari za Jioni wakuu.
nategemea kuanza kupanda matikiti maji na pili pili hoho wiki ijayo.
Wakulima wengi kwenye enao nililopo wamehsauri wakati wa kupanda nitumie mbolea ya kuku am samadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.