Habari zamchana wana bodi, samahani wakuu kwa wale wataalam wa ufugaji wa kuku nahitaji msaada wenu.
Nimeanza kufuga sasa nina mwezi wa tatu. Nafuga kuku chotara wa mayai, nimekumbana na hiki...
Habar ndugu Zangu natumaini mnaendelea vizur na poleni na majukumu ya siku nzima ningependa kujua soko la muhogo mkavu ninazo kama Tani 15 na bei yake kwa kilo tafadhari asanteni sana
Wadau nimekutana na makampuni wnahamisaisha watu kulima pilipili kichaa zinaitwa African bird eye. Wanasema ekari moja unaweza kuzalisha 160 Kgs/kavu/ wiki ambayo ni sawa na 640 kgs kavu kwa eka...
Habari wanajamvi wenzangu, naleta Uzi huu , ili kuweza kupata ushauri ama kama kuna MTU tunaweza kujoin tukafanya biashara ya kilimo, tukalima kilimo cha muda mfupi mm Nina milioni 1 wakuu...
Naomba mnijuzee wapi kuna mvua ya kutosha na ardhi nzuri yenye rutuba hususani kwa kilimo cha alizetii pia bei za mashamba na gharama nyingine katika hio mikoa
Pia upatikanaji na gharama za...
NINA TREKTA
MBEGU BORA ZA MAHINDI NA ALIZETI
KANIUNGANISHA NA WANUNUZI WA UHAKIKA NITAKAPOVUNA MAZAO
KANIPA NA 8 MILLION KWA KUANZIA
SWALI LANGU NI MOJA,MKOA GANI NAWEZA ANZA KILIMO?
Tajwa hapo juu ni Aina ya tunda ila lina majina mengi mno. Kwa kiswahili sijui.
Haya matunda yapo ya Wildau ya Msituni au ya Kienyejina piayapo Chotara.
Nchi ya Kolombia ndo mzalishaji mkuu wa...
Jaman wadau mm ni kijana nimeamua kujiajiri ktk biashara ya kuuza mafuta ya ubuyu na asali,
kwa yeyote anayejua soko la hii kitu lilipo msaada tafadhari!
Hali ya ajira na maisha ni ngumu jamani...
Habari za wakati huu ndugu, nipo apa kwaajili ya kuomba kazi yeyote inayohusiana na masuala ya Kilimo na mifugo, napatikana Arusha.niko tayari kufanya ata kwakujitolea ili nisipoteze elimu yangu...
Habari wakubwa.,
Ninahitaji kujua kuhusu incubator, efficiency yake katika utotoaji na aina zake kwa wafugaji wadogo dogo .
Incubator za mayai kuanzia 48 - 200 and above.
Kwa wale ambao wanazo...
Habar za wakati huu wandugu..
Kwa mahitaji ya Hoho za Rangi
Nyekundu na Njano zipo zinapatikana kwa kiwango chochote kile..
Bei ni Tsh 4000 kwa Kg 1
Mawasiliano 0674003019
Tunatuma mzigo...
Kilimo cha hydroponic ni Kilimo ambacho hakitumii udongo katika upandaji wa mazao hususa mbogamboga,
Virutubisho ambavyo mmea unavipata kutoka kwenye udongo husambazwa kwa njia ya maji yenye...
App inapatikana google play store kwa jina la Ufugaji au ipakue kupitia kiunganishi hiki
https://play.google.com/store/apps/details?id=ifugaji.app.tanzania.kilimo
Au nenda moja kwa moja kwenye...
Tujiandae kupanda kwa bei ya mahindi..mavuno mwaka huu yamesuasua. Zambia production zimeshuka by 34 %. Tanzania bado sijaona taarifa zao. Mahindi sasa yapo mikononi kwa wafanya...
Nitoe short story tu katika muendelezo wa kuelimisha jamii juu ya kilimo hai(organic farming).
Mimi Kwangu nimepanda mboga mboga katika mifuko hivyo mara nyingi huwa sinunui mboga sokoni, sasa...
Kuna hawa wanajiita MKIKITA naona nao wana project kama za Namaingo we unatoa fees wanakuchukulia mkopo wanakulimia wanakata gharama za ulimaji na mkopo we eti unapewa faida tu.
Nikitazama naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.