Wakuu habari za masiku wakuu nimelima mapapai nikafikiria kwenye zile nafasi nilizoacha baina ya mche na mche ni mipana sana nikaona niweke hapo mboga za majani kuna athari zozote kwenye hiyo...
Anaitwa Maui, nilimchukua akiwa mdogo kabisaa. Kwa kipindi cha ukuaji hapo nyuma kulikuwa na watoto wa jirani walikuwa wakicheza nae na mda mwingine walikuwa wakicheza nae vibaya kwa kumpiga hali...
Wana JF naomba anaefahamu contact address ya hii kampuni( Irvines Tz Ltd) ya vifaranga vya kuku anipe hapa.
Ni kampuni mpya makao yake ni kule Zimbabwe lakini nasikia wamefungua kampuni huko...
Tukitoa majanga ya asili kama mafuriko,ukame wa ghafla,magonjwa kunabaadhi ya mambo hufanywa na mkulima mwenyewe na kusababisha kuangukia pua na akaishia kulaani na kulaumu kilimo maisha yake yote...
Naombeni ushauri wenu mimi ni mhitimu wa chuo. Nahitaji kujiajiri kwenye kilimo....changamoto sijapata zao ambalo ni la moja kwa moja kulifanyia kazi..naombeni ushauri wenu... Niko mikoani.. Ardhi...
Kama nlivyosema ni mkulima lakini pia ninaweza kuwa dalali kwa huu muda ninaosubiria kuvuna nahitaji mtu mwenye interest ya kuwekeza kwenye uchuuzi wa matikiti kupeleka Nairobi au Zanzibar
sifa...
Ndugu zangu wakulima hii jamii ya watu wanajiita wafugaji hasa wa kabila la kimasai wamekuwa ni kero sana kwan mara nyingi wamekuwa na tabia zisizo za kiungwana mara nyingi huingiza mifugo yao...
Kuku mwenyewe katotoa leo leo!
Kuna tiba/kinga ya kuwafanya vifaranga hao wote wakue?
yaani hata kama kifaranga akifa, afe kwa kuangukiwa na ndoo au jembe, ila sio afe kwa ugonjwa.
NB; Naishi...
Habari wadau humu ndani.
Nina shamba lenye ukubwa wa eka 30 Wilaya ya Mkuranga ndani ndani huko.
Mipango yangu ni kupanda mazao ya kudumu eka 20 kati ya hizo 30 msimu wa masika yajayo.
Naomba...
Habari ndg zangu
Naombeni jamani kwa mtu anayeuza/anajua sehemu ng'ombe wa maziwa wanauzwa Tuwasiliane, nahitaji ng'ombe watatu wenye mimba
Breed:fresian, aryshire or brown swiss
Lipo karibu na barabara
Lina ukubwa Wa Eka 40
Bei ni tsh million 4
Lipo kijiji cha MFIRIGA
Ktk tarafa ya lupembe mkoani Njombe
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929 au 0655726929 na 0784340024
Habari wanajamvi,kama kichwa kinavyojieleza,ukitoa ule mradi wa mto Nile,
kwa hapa Africa kuna mradi mkubwa na ulio bora kuliko uliopo Hombolo bwawani Dodoma?
karibuni hombolo kwaajili ya kilimo...
Tilapia culture is practised in tropical and subtropical regions of world and has been growing at an outstanding rate during the past two decades. The worldwide production of tilapia in recent...
Nikiwa mkulima mchanga wa tikiti nimejifunza vitu vingi ambavyo naona leo si vibaya nikashare kwenu
1.Uchawi
amini usiamini uchawi upo kwenye kilimo nimeamini hivyo baaada ya wakulima wenzangu...
Katika kauchunguzi kangu kadogo nimegundua watu wengi wanalazimisha kilimo kwenye ardhi ya bagamoyo wakati sio rafiki kwa kilimo,watu wamesahau upande huu wa Mkuranga,Kimanzi na Rufiji ambapo pana...
Naomba kujua ni chuo gani ama mahali gani nitapata kozi za muda mfupi kujifunza innovations hasa fabrication za mashine mbalimbali zinazohusiana na kilimo na mifugo?
Wakuu kwanza salamu ndiyo utanzania wenyewe... Popote ulipo nakusalimu.
Back to the topic
Kwa wenyeji wa Mahenge wilaya ya Ulanga mkoa wa Morogoro naomba mnisaidie hii kwa mtu mwenye experience...
Habari za pilika wanaharakati ,poleni Na mapambano ,.naomba kufahamu mambo matatu kuhusiana Na tractor
1. Naomba kujua ni tractor Bora Na imara kwa Kilimo.
2. Gharama ya tractor kwa hapa tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.