habari za mida marafiki natumini ni wazima bc tumshuru mungu na hatujalie afya nzuri.
Masada wenu
mim ni mkulima mdogo wa mboga mboga nina muda wa mwaka mmoja sas nataka kulima nyanya mungu...
Ni kuku wa aina gani wanakuwa vyema na kuvumilia magonjwa kati ya Sasso, Kroiler na Israeli?
Kama kuna aina nyingine naomba mnijulishe ili nianze rasmi ufugaji wa kuku.
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. 3. Kutengeneza na kuuza tofali 4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri...
Habari wana JF. Naomba kufahamu kwa anayejua matumizi ya mashudu ya alizeti zaidi ya kutengenezachakula cha wanyama. Soko la ujakika la hii bidhaa linapatikana wapi
Hali ni mbaya sana!
Licha ya uchumi wa watanzania wengi kutegemea kilimo cha kutegemea neema za Mwenyezi Mungu kupata riziki zao lakini bado hali ya masoko imekuwa mbovu sana.
Katika hali ya...
Habari wanajamii wafugaji wa kuku wa kienyeji,
Nimepata dharura baada ya kuku wangu kuwaona wakichechemea,kutokana na kuku hao kufugwa suria na mahali wapo pana pitapitaza watu,mifugo. yupo kuku...
Salaamu,
Toka awamu hii iingie madarakani wamezuia Vifaranga/ LAYERS toka Kenya.
Sababu kubwa wakisema kuzuia magonjwa ya Ndege, lakini ukweli ni kwamba huko Kenya [emoji1139] hakuna sehemu...
Disk Drilling Cracks will help you find lost data. It saves you important time by finding your lost data, not only from your PC, but also from external drives. More than 20 million downloads made...
Kwanza kabisa uwekaji wa samaki kwenye bwawa huwa Ni kwa idadi maalumu kwa kawaida.
Kitaalamu,mita 1 ya mraba unaweza kupandikiza samaki kuanzia 3-5,6-10,11-15,16-30,kwamfano bwawa likiwa la mita...
Sote tunafuga kuku ili kupata mayai au nyama kutoka kwa kuku hao,lakini mtafaruku hutokea pale kuku hao wanapoacha kula chakula na kuamua kulana wao kwa wao au kula mayai kabisa.kama ulishawahi...
Wakuu habarini za asubuhi Nina Kuku wangu tetea alitaga mzao Wa kwanza mayai 8 akakataa kuyatamia
Ilipofika muda Wa kutaga mzao wake Wa pili alianza kutetea kwa kasi sana na akitaka kutaga...
Habari ya mchana ndugu zangu. Nimekuwa nikitembea katika mitandao kutafiti kilimo cha machungwa.
Huko Kenya nimeona kuna mbegu ya Africa kusini wameitumia inafanya vizuri inaitwa CLANOR. Je...
Neno Nidhamu lina maana kubwa sana katika safari yoyote ile ya mtu ya kukimbilia katika maisha ya mafanikio makubwa anayoyataka hapa duniani. Kama unahitaji kuwa bora na mwenye mafanikio mazuri...
Kama swali linavyo eleza, wadau ninamagunia yangu ya tangawiz, nimesikia soko la nje lina lipa, nahitaji kusafirisha kwaajili ya masoko nje, wadau taratibu zikoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kilivyo, naomba kujua yale mayai ambayo yanafaa kutumika kutotolesha vifaranga vya kuku wa nyama yanapatikana wapi kwa mkoa wa Arusha. Vifaranga vimekuwa adimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.