Habari wana MMU!!
Jamani mwenzenu nina ng'ombe nimemleta hapa nyumbani wiki iliyopita. Ng'ombe huyu nilimnunua huko Mkoani Ruvuma miezi tisa iliyopita ila niliamua kumuacha kwanza huko akue na...
Nipo Dar, wapi nitapata mbegu za mizabibu? Nataka kupanda nyumbani kwangu as a garden. Kama naweza kupata kwako naomba unitafute. 0658103810.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeaza kujishulisha na ufugaji wakuku wa kienyeji toka mwaka jana
Nimekumbwa na tazizo la kuku wangu kuwa wana koroma na kukohoa
Naombeni mnisaidie ni tumie dawa gani kuwatibu hawa kuku wangu
Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo cha mboga, matunda, maua, viungo na dawa.
Wataalam na wakulima tukutane hapa.
==============================================
Kwa kuanza niongelee...
Heshima wadau wa JF, Naomba kama kuna mtu anaweza kunipa mchanganuo wa green house ya bei nafuu ya mita 15 kwa 8 kwa Dar es Salaam.
Naomba kuwasilisha.
Ni mtandao wa mashirika ,vikundi mwamvuli na makampuni yaliyoko kwenye sekta ya kilimo.Mtandao huu wa ANSAF ulianzishwa Tanzania mwaka 2006 kwa madhumuni makuu yafuatayo;
✓kufanya uchechemuzi kwa...
Mimi kama mkulima namkaribisha kwa furaha Mkuu wa Wilaya aliyechaguliwa hivi karibuni. Wenzake wote hilo tatizo limewashinda ama walizembea. We fikiria umelima mahindi na mihogo unataka kuvuna...
Moja kwa moja kwenye hoja; tunatotoresha mayai aina zote; kiwanda chetu cha utotoreshaji (incubators) ni cha kisasa kabisa; hatching ration ni 98% karibu. Tray moja ni sh 8,000 tu.
Pia tunauza...
Hivi majuzi wakati Mheshimiwa rais anawaapisha mawaziri wapya aligusia kidogo hali ya soko la kahawa na alitoa kauli kwamba Ushirika 'usilazimishe' kununua kahawa kama hauna uwezo huo. Akaenda...
Habari,, kama wewe ni mdau w Kilimo kwa namna moja au nyingine yaani kuanzia kwa mkulima mfanyabiashara wa mazao, pembejeo , Dawa ,Mbegu nk. Sasa unaweza kuwafikia Wateja na walengwa wako kupitia...
Salaam wana JF wote! je ni kampuni gani hapa Tanzania inaweza kufunga "efficient drip irrigation system" maana hii teknolojia ya umwagiliaji inasekana kuwa ya ufanisi mkubwa. Nakarisha wadau wote...
Habarini wana jf
Kwanza kabisa ni mshukuru mungu kwa mambo mengi anayotujalia na kutulinda na mambaya
Wandugu naombeni mwenye ufahamu wa matumizi ya hizi mbolea anielekeze
Akizingatia sana nalima...
Mwamko wa Biashara miongoni mwa watanzania wengi bado ni tatizo. tatizo hasa liko wapi, na ufumbuzi wake uweje? mi ntajaribu machache lakini wengi tunaweza tukashirikiana majibu na utekelezaji...
habari zenu ndugu...nimeona si vyema kukaa na upofu wangu wa kutokujua mambo jinsi yanvyokwenda..swali langu lipo hivi...wale waanzilishi wa makampuni makubwa duniani kama Cocacola,Mercedes...
Tanzania inatumia gharama kubwa kuzuia karafuu, mahindi, kahawa, ng'ombe, madini na bidhaa nyingine zisivushwe nje ya mipaka yake na wakulima, wafugaji na wachimbaji wadogo Wa madini kwa lengo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.