Wakuu Salaam.
Nipo Dar es salaam ila Nina mpango wa kufuga Ng'ombe wa kisasa wa maziwa au hata kama watakuwa chotara sio mbaya ili mradi wawe na uwezo wa kutoa maziwa kuanzia Lita 10 kwa Siku...
Changamoto inayonikabili mimi ni upungufu wa mtaji, na mtaji nilio nao mm ni Eneo zuri maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mtu ambae tutawekeza pamoja, Habari niliyoifikia mm ni ufugaji wa kuku wa...
Je green house hufanya vizuri kwenye mazingira ya joto?
Na Eng Octavian Lasway
Back to physics from gas laws
1. Charles law ( V>T)
2. Boyle's law (P>T)
3. PV= nRT
Kutoka na eqn hapo juu...
Mbali na maswala ya Ufugaji kwa sasa pia tunajishughulisha na Kilimo cha matunda hasa Strawberry na Cape gooseberry.
Strawberry ni matunda yenye thamani sana na mara nyingi huliwa au kutumiwa na...
Salaam. Nina muhogo uko shambani tayari kwa kuvunwa, eneo ni kijiji cha yombo unapita msanga na hufiki Chole. Barabara ya Kisarawe.Ningependa kuuza kilo
Natumaini hamjambo wana jukwaa.
Samahani naomba mwenye utaalamu anisaidie gharama za kuweza kufuga kuku wa broiler kiasi tajwa hapo juu, tangu wk ya kwanza mpk ya mwisho, kuanzia manunuzi ya...
Habari Wadau nilikua naomba kwa anayejua hints za ufugaji wa kuku nahitaji kununua vifaranga Vidogo vya broiler ndio nimesikia vinakua wiki 3 au 4 sasa shida yangu ni kwamba mabanda hayo hayo...
Wengi wetu tumewahi kushuhudia au kusikia habari ya maisha duni wanayoishi baadhi ya watumishi wa umma mara baada kustaafu.
Sababu zinaweza kuwa nyingi lakini mojawapo ni kutokumbuka kuwekeza...
Hali zenu wanajamvi?
Anaandika steka toka kusini, wadau zao la ufuta ni nguzo muhimu kwa uchumi wa mikoa ya kusini hasa mkoa wa Lindi, tulizoea kuuza zao hili kwa bei ya sh 2000-2500/ cha ajabu...
Kwa kuanzia Serikali na Benki ya Kilimo iwapatie wanavijiji matrekta ya bure au ya mkopo ili kubadilisha kilimo chao cha jembe la mkono. Sasa hivi wanavijiji wamehamasika kulima kwa matrekta...
Jamani wanajukwaa I hope mko poa, nauliza Kama kwa kipindi hiki cha mwezi wa saba mpaka wa nane, Kama ntaweza kupata ufuta wa kununua takribani Tani 1000
Wakuuu. Ninampango wa kulima hekar 1 ya hoho. Nimejaribu kupanda miche 500 kwa mara ya kwanza mavuno yalikuwa mazur na mengi. Nikajaribu tena kwa mara ya pili kutumia hybrid seeds (Tycoon)...
Nilinunua pakiti ya gm1 ya malikia na kuipanda mwaka jana. Mipapai imeanza kuzaa ila cha kushangaza ni kuwa matunda ni tofauti.
Mbegu ya malkia imechorwa papai lefu nami nilitegemea matunda...
Nimeaza kufuga kuku wanyama kwa Mara ya kwanza lakini naona maendeleo ya ukuwaji WAke sio mbaya wanakua kwa kasi Sana ila kunakitu kinanipa mawazo Sana ila kuna kuku mmoja nimemkagua nikakuta Kama...
Habari ya majukumu kaka na dada zangu. Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji 11 (matetea 10 na jogoo 1). Lengo la kuandika thread hii ni kuomba mnisaidie ratio ya chakula kwa hawa kuku 11. Je per...
Ripoti nzito nitaileta kwenu,dhidi ya ubadhirifu wa zaidi ya bilioni 5 km mkopo kutoka TIB kwenda kwa wakulima wa mkoa wa morogoro
Ila kwa ufupi niwajuze tu kuwa ni mwezi sasa tangu niingie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.