Habari wakuu
Naomba msaada kujua juu ya water pump hizi zinazotumia mafuta,
Je zina uwezo wa kuvuta maji kisima cha futi 50?
Na kama zinaweza ipi pump bora zaidi
Karibuni
VITU VYA KUZINGATIA KATIKA UKATAJI MIDOMO YA KUKU (DEBEAKING)
★ Utangulizi
Ukataji wa midomo ya kuku ni mojawapo wa majukumu ya kawaida kwa mfugaji na huusisha kuondolewa kwa ncha kali ya mdomo...
Habari wapendwa....
Mimi nipo morogoro, ni Dada mwenye uchungu sana na maisha na nahitaji maendeleo kwa njia yoyote iliyo halali! na moja ya njia hizo ni kilimo! nimeshawahi kujishughulisha Sana...
Wandugu naomba mnisaidie kutoa ushuhuda hapa kwa aliewahi kutumia hizo mbolea hapo juu. Mimi nimetumia kwenye mahindi ni wiki ya 3 sasa sioni mabadiliko ninachokiona ni mahindi yanazidi kuwa...
Vijana wengi wa Tanzania tuna shida kubwa katika bongo zetu. Tumegeuka kuwa jamii ya kulaumu na kulalamika badala ya kuchukua hatua.Tunapenda urahisi. Tunasahau kuwa zama zimebadilika...
Habari wana JF....samahani naombeni ushauri nahitaji kufanya ishu yakupannda ile miti yambao..samahani naombeni ushauri wenu maeneo gani yanafaa na miti haina gani inaota haraka na nikianza na...
Salaam,
Huu ni msimo wa kilimo hapa nchini kwa wakulima wakubwa na wadogo.
Serikali kupitia viongozi wake wakuu imekuwa ikihamisha utumiaji wa mbolea na uanzishwaji wa viwanda vya kutengeneza...
wadau nailikuwa nauliza hatua zipi inapaswa kupitia ili pombe nayotaka itengeneza ikubaliwe na serikali kuwa si haramu nataka tengeneza pombe aina ya spirit iwe katika mfumo wa viroba
Habari zenu wadau,mimi ni mfugaji mchanga wa kuku,nimekuja kwenu kama njia ya kujifunza kutokana na changamoto nilikutana hayo,natumaini humu kutakuwa na magwiji kwenye hii fani ya ufugaji kuku...
Mwana jf ,karibu katika fursa kubwa ya kilimo chenye tija. Ni kilimo cha kisasa kijulikanacho kama vijiji biashara, ni chini ya ujio wa kampuni liitwalo Namaingo Bussness Agency ambapo utasaidiwa...
Mimi ni mjasiriamali mdogo, nimebahatika kupata mtaji ambao nimeona nifungue kiwanda kidogo cha kutengeneza mafuta ya alizeti.
Sasa naomba wenye uzoefu na machine za kukamulia alizeti, bei ya...
Wakuu habari za majukumu! Kutokana na ukosefu wa ajira nimepata wazo la kufuga kuku wa nyama baada ya kufanya utafiti wa soko la hao kuku.Napenda niongelee moja kwa moja kuwa kwa sasa sina idea...
Habari ndugu zangu!!
Katika Miaka ya hivi karibuni kumetokea Wadudu (mafinyo) kwenye Zao la Mahindi.
Wadudu hao wamekuwa wakiharibu Mazao haya ya Mahindi na kupelekea Mmea kushindwa kuweka...
Wadau, wataalamu na wakulima wa korosho, bila shaka mmesikia ugonjwa wa kunyauka kwa miti ya mikorosho ulioikumba Mkuranga. Naomba kuuliza, je ugonjwa huu unaweza kuenea mpaka Kilwa, Lindi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.