Katika miaka ya hivi karibuni,na hasa mwaka huu,tumeona uharibifu mkubwa wa zao la mahindi na viwavi aina ya Maize Stalkborers.Zipo dawa za kudhibiti wadudu hao,lakini dawa hizo ni ghali kwa...
Habarini....
Ndugu wanajukwaa naomba kutoa wito,kama mtu umeamua kuwa mkulima wa zao fulani,zalisha kwa wingi ili jamii ikufahamu kupitia uzalishaji wako.Kama mtu kaamua kuwa mfugaji basi fuga kwa...
Naamini mungu ni mwema anazidi kutupigania na hali zetu. Waungwana nimefikiria na kupenda kulima zao la vitunguu but sna ujuzi wowote.
Nataka kufaham haya :
# Namna ya ulimaji
#...
Sina fedha,sina Godfather wala hati ya nyumba/shamba ila nina kitu kimoja tu kinachonitia moyo,yaani ki-saikolojia ninaamini kuwa nitakuwa settler hata kama si wa kiwango cha kutisha.Kuna members...
Habari za jioni ndugu zangu baada ya vyuma kuendelea kukaza nmeona nikimbie mji kidogo nijikite kwenye kilimo cha tikiti maji ambacho nimeona kitanitoa maana ni zao la muda mfupi miezi mi 3...
Uzalishaji wenye faida kwa ng’ombe wa maziwa huhitaji uangalizi wa karibu, unaowezesha kutambua ni wakati gani ng’ombe ana joto, hivyo kufanya uhamilishaji kwa wakati unaotakiwa.
Kushindwa...
Habari za asubuhi,kuku wangu wangu wa kienyeji ambao nimeamua kuwafungia ndani wanakula gramu 200/kuku kwa siku badala ya gramu 120.Naomba mnisaidie hapo tatizo litakuwa ni nini?
Wadau ningependa kujua kuhusu mchakato wa hii biashara ya kukusanya makopo ya plastiki na kuyayeyusha kisha kuuza viwandani ikoje.
Mashine ya kuyeyusha inapatikana wapi na kwa kiasi gani...
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?
Msaada kwa anayeelewa.
#commred Chichimizi
Habari zenu wakuu,
Nina mpango wa kufuga nguruwe lakini nina changamoto moja kubwa ninayoipata hivyo nahitaji mtu wa kuingia nae ubia tufanye pamoja.
Vigezo:
i. Huyo mtu awe na eneo la...
Habari
Naomba mtu yeyote anaefuga nguruwe nimtembelee na kuona ili kujifunza zaidi
Naishi dar niko tayari kufika kokote pembezoni mwa dar kama mkuranga, rufiji, kibaha, mlandizi, morogoro na...
Habari za leo natumaini wazima wote.
Nipo na mtaji na eneo lenye upatikanaji wa maji kwa wingi, naomba ushauri kwa ufugaji wa nguruwe.
Nahitaji kujua gharama za nguruwe mmoja kumtunza kwa...
Kwanza watoto wa nguruwe wanapozaliwa siku ya kwanza mpaka ya tatu wanatakiwa wachomwe iron mara moja then wakimaliza wiki moja wanatakiwa wachomwe Gentaject pamoja na introvite hizo ni...
Wapendwa nimepigiwa simu na rafiki yangu ataniambia kuna ugonjwa wa kutetemeka ambao unaua sana nguruwe huko Tabata na Kinyerezi. Mwenye habari kamili na tafadhali atujuze hapa.
Nimeamua kujihusisha na masuala ya ufugaji baada ya kukosa matumaini ya kuajiriwa nilianza na kuku wa kienyeji 8 mwaka jana mwezi wa tisa sasa wapo 52.pia mwezi wa nne tarehe moja nimenunua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.