Mimi nipo kwenye huu mkoa wa Morogoro,mkoa uliobarikiwa kuwa na ardhi yenye rutuba inayokubali kila aina ya zao.Kwa kiasi kikubwa mazao mengi sana yanastawi,kuanzia...
Habari zenu,
Nimeona wengi tulio mijini tunapenda Kilimo na tunatamani sana kujishughulisha na kilimo. Wengine wamefanikiwa hadi kukodisha au hata kununua Mashamba. Lakini wanaishi mjini badala...
SUMU NA HUDUMA YA KWANZA KWA MBWA ALIEPEWA SUMU
★ UTANGULIZI
Sumu ni kitu chochote hatarishi katika mwili wa mnyama na binadamu vilevile.
Kwa kawaida mbwa huwa wanatabia ya udadisi na udadisi...
Salam wana jamvi naombeni ushauri wapi ninaweza kupata soko la kuuzia mahindi mabichi. Nipo mkoa wa pwani wilaya ya rufiji nataka kuanza kilimo cha mahindi ila cjui wapi naweza kupata soko na bei...
Strawberry (fukasidi) hustawi katika maeneo yenye joto la wastani, na hukua kwa haraka zaidi na uzalishaji kuongezeka linapolimwa kisasa zaidi, Hasa katika Green house. Zao hili hukua vizuri...
Salamu wadau
Mimi ni miongoni mwa wakulima wa vitunguu na mboga mboga tunaotumia maji ya Mto Ruvu, wilayani Same mkoani Kilimanjaro. Tokea wiki iliyopita kumekuwa na Mafuriko ya maji ya mto, kiasi...
Wadau habari zenu,
Naomba wanaojua kilimo bora cha mboga ya tembele wanisaidie. Hatua zote na hadi kupata tembele zuri lenye afya
Shamba lipo na maji yapo karibu pia ya uhakika.
Asante
Habari waungwana.
natamani sana kuingia kwenye kilimo hasa cha matunda kama apple lakina nashidwa kujua kiutaram ni mazingira gan yanakubari na uoteshaji wake upoje,
aksanteni sana, KARIBUNI KWA...
Ninaye ng'ombe aliyezaa hivi karibuni , yapata wiki sasa tatizo nilipoanza kukamua maziwa yanakuwa yamechanganyika na Damu kiasi nni tatizo na tiba yake?
Heshima kwenu mabibi na mabwana,kuroiler ni aina ya kuku chotara ambao wanasifa za kienyeji kwa kiasi fulani na sifa za kuku wa kisasa kiasi fulani hasa kwenye rangi ya mayai hata wakati mwingine...
Wadau tunakaribia msimu wa mavuno ya zao la muhogo kwa wingi hasa kutoka mikoa ya kusini mwa Tanzania na baadhi tayari wameanza kuvuna. Soko la zao hili limekuwa halina uhakika sana kutokana na...
Kama kuna mtu anajua namna ya kulima saffron na upatikanaji wa bulbs (mbegu) zake atupe hii elimu. Nimejaribu kutafuta mtandaoni naona kama ni hii kitu inaweza kututoa kwenye umasikini...
Nimepitia sera ya Kilimo hapa nchini. Ni sera nzuri na sera nzuri kuliko sera zote.Kilimo ukifundishwa darasani ni kizuri.Lakini practically ni kazi ngumu. Kinataka tija na ujuzi pia mtaji kwa...
Habar wanajamvi, mimi ni muajiriwa katika shirika lisilo la kiserikali na pia najishughulisha na kilimo cha machungwa na mahindi na pia ni mfugaji wa kuku wa kienyeji chotara aina ya kuroiler...
Habari ya saa hii jameni,nimeona papa wa urefu kama futa tatu na ushee akiuzwa kwa soko ya samaki.
Swali nataka uliza:papa analiwa? Because once nilipata kusikia wako wenye sumu hawafai kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.