Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Uhifadhi huu mahindi kwa wakulima aukuanza jana wala leo. Utunzaji huu ulikuwepo kipindi kirefu sana kwa wakulima wa mahindi, yakishavunwa kutoka shambani. Hutengenezewa kiota chake cha...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu, Naomba mnijuze kuhusu miche ya mikorosho ambayo inauwezo wa kukua baada ya miaka mitatu na kuanza kuzaa. Na mahali inapopatikana. Naishi Dar es Salaam na Pwani.
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Habari wakuu?. Kama nilivyoeleza kwenye heading hapo juu; nilianza na kuku wa kienyeji 10 kama wazaz (9 tetea na jogoo 1) na bahati nzur niliwatunza vizur na wakatotoa jumla vifaranga 94...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari ndugu zangu, mimi ni mjasiriamali ninahitaji ushauri kutoka kwenu wazoefu wa kilimo,nina eneo la ekari kadhaa eneo la kisarawe nahitaji kuanza kilimo ,je ni zao gani kwa ushauri wenu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Salamu wana JF Naleta mada hii ya uzoefu wangu katika kufuga kuku wa nyama (broilers). Nimekuwa mfugaji kwa miezi sita sasa. Awali nilipewa matumaini sana kuwa wana biashara nzuri kama ambavyo...
6 Reactions
48 Replies
20K Views
Niliwahi sema kwamba Commercial Breeds ni mbili pekee nazo ni 1. Layers 2. Broiler. Sasa kuna watu wanakuja na hoja mfu mara kuroiler mara sijui nini. LAYERS Layers kuku wa mayai ndo wanaotaga...
7 Reactions
16 Replies
12K Views
Wadau, nimefuga kuku wa Malawi. Nilichukua vifaranga kama 200 sasa hivi wanaendelea vizuri ni wiki ya 4 sasa. Kwa mliotangulia naombeni msaada. Je, hawa kuku kuna haja ya kuwalisha hata usiku?
4 Reactions
84 Replies
25K Views
Wakuu kwa Wiki Mbili sasa nashuhudia magari kwa magari ya kisomba mitambo ya kiwanda kipya kinacho tarajiwakujengwa Mjini singida na Mount Meru Millers Co Ltd, Mitambo hiyo imekuwa ikisombwa...
3 Reactions
26 Replies
11K Views
Nataka kupanda miche shimo mpaka shimo mita 2.0 halafu nikipata hiyo miche kwenye mistari ya 2.0 nitatenganishwa kwa upana wa mita 2.5. Nahitaji kujua kwenye ekari moja nitaweka miche mingapi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau Nina shida ya kuanzisha hatching business. Eneo nililopo kuna uhaba wa kupata vifaranga pia ni mkoa ambao hakuna MTU au kama wapo ni wachache sana wanaofanya hii business. Nimekuwa...
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Habari wana Jforums natokea Arusha kwa morombo. Nahitaji vifaranga wadogo wa kuanzia siku moja wa kuku aina ya layers. Naombeni bei
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TPBA ni umoja wa watotoleshaji wa vifaranga wa ndege wafugwao na wazalishaji wa mayai ya kutoloesha vifaranga wa ndege wafugwao. Mtu yeyote au kampuni yoyote yenye sifa ya kuwa na ndege 250 au...
3 Reactions
20 Replies
9K Views
Habari za asubuhi wana jamiiForum, nimefanikiwa kulima kabeji na ziko katika hatua za mwisho mwisho. Lakini kuna tatizo limejitokeza yaani zinapasuka, kwa maana nyingine zinafumuka kwa kupasuka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu. Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu maeneo ya mkoa wa pwani,kama bagamoyo mpaka msata hayo maeneo kilimo cha maharage kinakubali huko?
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Natumaini haujambo wewe unayesoma hii mada. Leo napenda kuwaleteeni habari njema ya kuwasaidia wafugaji wa kuku, bata, nguruwe, sungura, ng'ombe nk. Habari yenyewe ni kuhusiana na uwezekano wa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Tunauza Mbegu za nafaka kupitia kampuni yetu ya trustmark seed agency.nafaka kama ufuta,choroko,mbaazi,mpunga nk.karibuni sana
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hivi kuna masharti gani mtu akitaka kufungua Bureau De Change, Benki na Financial institution Tanzania Je Bureau zinalipa au? kwa nini wadosi wengi wanafanya sana hii biashara?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF! Kunu ndugu yangu amenihabarisha kuwa kuna mashamba maeneo ya Bagamoyo (maeneo mbalimbali) na ni bei poa (hakunitajia bei)! Binafsi nina nia ya kununua eneo kwa ajili ya kilimo kule...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
nahitaji kujua kwa undani kuhusu Flaxseed
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nashukuru Sana Kwa habari mtupazo
0 Reactions
1 Replies
657 Views
Back
Top Bottom