Nani anajua huu mmea? kuna sehemu naona wana process na kupack

Nani anajua huu mmea? kuna sehemu naona wana process na kupack

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,967
Reaction score
9,544
704f4cb774eaa41244e3216c3cfae412.jpg

Jajaja.png

​
 
Arusha tunauita Mkongoraa, sijui maeneo mengine. Wamasai wanaiuza sana, inasadikika kusaidia kusimamisha muda mrefu au kukuza dushe. One or both.
 
Kenyan are forward of us incase of innovation,
Hakuna kitu kikubwa kwenye bidhaa yako kama packaging hii inaboresha sana kwanza muonekano pia durability.
 
Mkongoraa, unaukausha maganda yake, changanya na karanga, unatumia kwenye uji au maji ya moto. Dushe ikiamka hailali labda uweke barafu
 
Mkongoraa, unaukausha maganda yake, changanya na karanga, unatumia kwenye uji au maji ya moto. Dushe ikiamka hailali labda uweke barafu
Hayo maganda yakishakauka yanasagwa au vipi na unachanganyaje na karanga?
 
Huu ni mmea unaoota likamba kamba lakini chini mzizi wake ndo huo huenda aridhini tena mbali mno kiasi kwamba ukiambiwa uuchimbe hadi mwisho huwezi kuufikia kwa kule kwetu tunauita "mbodo"
"Nje ya mada" kule kijijini zamani tuliaminishwa ukiula eti dushelele linakuwa kuubwaa tumeula sana
Mashambani yanaota yenyewe kama mmea pori
 
Back
Top Bottom