Nani anajua huu mmea? kuna sehemu naona wana process na kupack

Nani anajua huu mmea? kuna sehemu naona wana process na kupack

Arusha tunauita Mkongoraa, sijui maeneo mengine. Wamasai wanaiuza sana, inasadikika kusaidia kusimamisha muda mrefu au kukuza dushe. One or both.
Sidhani maana kwetu tumeyala sana ingekuwa ni kweli binafsi ningekuwa na dushe kama la punda.
 
Ahsante muanzisha uzi na wahitaji tiba tutawajua kupitia uzi huu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hii ni mkongora, huwa naila sana.... Hii inaweza ifanya dushe yako iwe firm amd strong..... Wanaume wa dar hawaijui hii....
Hahah!! Tunajua bhana, Masai wanazunguka nayo sana [emoji23]
 
Mkongoraa, unaukausha maganda yake, changanya na karanga, unatumia kwenye uji au maji ya moto. Dushe ikiamka hailali labda uweke barafu

Asanteni kwa kutoa fursa nyingine. Amin amin nawaambieni, huo mti kuanzia sasa utakuwa adimu. Hapana chezea wanaume wa Dar ww
 
Hii ni mkongora, huwa naila sana.... Hii inaweza ifanya dushe yako iwe firm amd strong..... Wanaume wa dar hawaijui hii....
Ina maana tu mwanaume twa Dar ni tulegevu?
 
Huu ni mmea unaoota likamba kamba lakini chini mzizi wake ndo huo huenda aridhini tena mbali mno kiasi kwamba ukiambiwa uuchimbe hadi mwisho huwezi kuufikia kwa kule kwetu tunauita "mbodo"
"Nje ya mada" kule kijijini zamani tuliaminishwa ukiula eti dushelele linakuwa kuubwaa tumeula sana
Mashambani yanaota yenyewe kama mmea pori
Kwahiyo mkuu unataka kusema kuwa huu "mzizi" hauna faida kama wanayoitangaza? Hebu tuambie baada ya wewe kuutumia sana umeona tofauti gani.
 
704f4cb774eaa41244e3216c3cfae412.jpg

View attachment 791332
​
Nautafuta huu mkongora ntaupata wap?? npo shy
 
Back
Top Bottom