Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji sasaivi wamefika mia na hamsini tatizo wanataga sehemu moja wnalalia sehemoja wa tatu kila siku wanachanganya mayai matokeo yake wanayaharibu tu msaada tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
TABIA 4 ZA WATU WALIOFANIKIWA KATIKA UMRI MDOGO 1. Zifuate nafasi za kufanikiwa zilipo, usikae ukisubiri zikufuate. Kama kilimo cha vitunguu ni Mbeya, wewe Dar hapakufai, nenda uone mambo...
11 Reactions
22 Replies
23K Views
habari wanajumuiya, ningependa kufahamu kampuni nzuri ya kufanyia biashara ya kuuza LUKU ambayo ina maslahi mazuri kiasi? natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waungwana numetoa ofa hiyo kwa mwenye uhutaj anichek fasta ninamadume ya kware30 nataka kuyatoa fasta mwenye uhitaj anichek fasta tufanye biz au anipe majike 20 nimpe madume 27 fasta
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa natumaini mko salama, Kuna mdogo wangu kaulizwa swali kashindwa kulielewa, sasa kaniletea mimi na kwangu limekuwa gumu, nikaona nililete hapa kwa wadau mtanisaidia; ''Distinguish...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za leo wana JF, ninataka kufuga Dagaa kamba , kuna mwenye taarifa jinsi ya kufuga , chakula chake, bwawa lake liweje na Soko lake ndani ya Tanzania?
0 Reactions
1 Replies
5K Views
mambo vp ndugu...nataka kuanza biashara ya ufugaji kuku wa kienyeji kama kuna mtu ana experience na hii kitu anajuze jinsi ya kuwakinga kuku katika magonjwa dawa zipi za kutumia
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habarini wadau, nina blog inayotembelewa na wadau mpaka 36,000 kwa siku, pia nina page yenye zaidi ya likes 33,000 na group lenye zaidi ya watu 13,000 kama upo dar au mkoa mwingine ambapo watu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanahitajika vijana 20 wa kuuza nguo kwa kutembeza nguo za mitumba za wadada, wamama na watoto,kutafuta masoko mbalimbali mfano maofisini, vyuoni, mitaani n.k Malipo ni kwa siku. VIGEZO: Awe...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu! Nipo dar es salaam naomba kujuzwa sehemu ninazoweza kupata tray za kuwekea mayai ya kware.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Vifaranga wa siku moja, week moja, week mbili na week tatu wanapatikana kwa wingi. Hawa wafugaji wako Mbele ya Tegeta Dar es Salaam, lakini wanauwezo wa kukuletea vifaranga mahali ulipo kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nahitaji vifaranga vya kuku wa kienyeji kwa ajili ya kufuga..Mimi ndo kwanza naanza kufuga kuku wa kienyeji. Pia naomba ushauri nianze kufuga kuku wangapi.Matarajio yangu ni kuwa...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Clean, excellent condition-Only for serious buyers...0655647760
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Clean, good condition
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Wadau hebu tembelea hii link, mwawezaongeza kipato ktk maisha. kila la heri CashWeGo.com - Earning website for Students, Job-less people and House wife
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nina asali ya Tabora na karanga. Ziko lita 60 za asali kwa mwenye kuhitaji. Pia kama kuna anayefahamu soko la uhakika kwa regular supply. Asanteni elnino, Mlachake, GAZETI, Malila...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari humu jamvini, Nina plot ambayo ipo kilometer 8 kutoka uwanja wa ndege KIA(Kilimanjaro International Airport) yenye ukuwa wa meter square 4500 na pia ina hati na ipo barabarani kabisa Arusha...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Tunauza mayai na vifaranga vya kware kwa bei nafuu sana kwa ambaye anatamani kujua jinsi ya kufuga, bei ya mayai na vifaranga na mengineo tunapatikana tabata changombe na kwa mawasiliano zaidi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ni mgeni hapa Dar, niko na kazi zangu ambazo nitaka kuziprinti ni business card, naomba jua ni wapi ninakoweza kufanya printing
0 Reactions
1 Replies
946 Views
CAMARADOR CAMP – MWANZA CITY Mwana JF uliyeko Mwanza na yeyote anayetegemea kutembelea jiji la Mwanza; unakaribishwa kujumuika na wastaarabu Camarador Camp iliyo Barabara ya Nyerere (Igoma –...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…