Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

naomba kuuliza je ni wakati gani mzuri wa kuintroduce viota vya kutaga kwenye nyumba ya kuku? nina kuku wamefikia mwiezi5 sasa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Majogoo wekundu chotara wana umri wa miezi mitano wanauzwa, wasiliana nami 0715714234
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF, Hongereni wajasiamali/wakulima Nisiwachoshe jamani, mimi nilitaka kujua au kupata taarifa juu ya kilimo cha cocoa.. Wapi nchini kwetu kinaweza kulimwa pamoja na tarifa zingine.
0 Reactions
7 Replies
9K Views
habarini wanajamvi. jamani naombeni mwenye kufahamu vizuri biashara hii ipo vipi. binafsi sifahamu imekaa vp ila natamani sn kufanya biashara ya kununua dhahabu kwenye migodi hapa tz na kwenda...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wapendwa bandugu na bajamaa habari za majukumu...! Kwa furaha na upendo karibuni sana tusherekee kwa kujipatia kuku bora kabisa wa kienyeji kwa ajili ya kitoweo cha sikuu za x-mass na mwaka mpya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nimeamua kujiajiri kama hivi: tunatoa huduma za ICT mfano; computer maintenance,kusupply computer na vifaa vyake vyote,software development,website design and hosting,printing,IT support and...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Gari aina ya Toyota Hiace inauzwa. Ipo Dar es salaam na Iko kwenye hali nzuri sana. Ni ya mwaka 1996, Engine ya Diesel, ina viti vya kukaa watu 17, na imesajiliwa kwa Biashara. Mwenye kuihitaji...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu! Tafadhali naomba msaada wa kujuzwa Ni aina ipi ya pikipiki(bodaboda) inafaa kwa biashara ya bodaboda, ukiangalia uimara, matumizi mazuri ya mafuta na mambo mengine. Nataka...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Mimi ni kijana nina hamu sana ya kufanya kilimo maeneo ya Bungu - Rufiji lakini kwa kujikongoja. Nina ekari zaidi ya 10 ambazo ninaweza kuanzisha kilimo fulani kizuri. Nakuwa na wakati mgumu sana...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
wadua natanguliza shukurani, kwa wale wenye weledi katika mambo ya kilimo cha mananasi. nahitaji kujua gharama ya kupanda mananasi kwa heka moja ni kiasi gani. kwa maeneo ya Bagamoyo. hii...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
wakuu heshima ziwafikie popote mlipo, nahitaji msaada tajwa hapo juu....wapi naweza pata studio lights kit nzuri? nielekezeni mkuu hata kama mnayo pia mnaweza nipatia taarifa iwe na miamvuli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, mimi ni mwanakijiji wa Kivinja B. Nina viwinja vya makazi na kuna jirani zangu wengine wana ardhi inayofaa kwa kilimo na hata kuwekeza kufaa mifugo shule na mipango mingine kutegemea na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu niko Mbeya mjini naomba mtu yeyote anayefahamu sehemu naweza kupata shamba la kukodi kwa ajili ya kilimo cha mazao ya msimu hapa mbeya na wilaya zake kwa sasa anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
salaam sana wakuu. niko moshi machame nataka nijue kama kwa hali ya hewa ya huku hayo mazao ya pareto kama yatastawi na soko lake likoje na je kama hilo zao lina athari zozote kwa aridhi.
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani kwa anayefahamu naomba anifahamishe mahali lilipo solo la nguruwe Morogoro. Nataka nianze kuuza nguruwe wangu. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Khabari ya majukumu wakuu!! Nilikuwa nafikiria kuanzisha bar maeneo ya manzese, ninaomba maoni yenu kuhusu biashara hii kwa ujumla
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Wadau, naomba mnifahamishe kama sera ya kilimo na mifugo imewanufaisha Watanzania na kwa kiwango gani. Nawasilisha
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu ni kweli kabisa kwamba swala la capital limekuwa gumu sana hasa kwa new starter, na benki nyingi haziko tiyali ikuwakoposha fresh business man, wanapenda ambao wameisha anza na kikwazo...
8 Reactions
87 Replies
8K Views
Habar wanajamii, Kama kilivyo kichwa cha habar, mimi ni mjasiria mali mchanga, nilikua na kiasi kidogo cha pesa nikaamua kuanzisha biashara ya kuuza chakula ila nimemkabidhi msichana ambaye...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
My wife has 20m cash and is looking for lucrative business idea, originally she had thought doing micro-finance business but she is afraid or risks involved. Is there any one with business idea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom