Habari wana JF, Hongereni wajasiamali/wakulima
Nisiwachoshe jamani, mimi nilitaka kujua au kupata taarifa juu ya kilimo cha cocoa..
Wapi nchini kwetu kinaweza kulimwa pamoja na tarifa zingine.
habarini wanajamvi. jamani naombeni mwenye kufahamu vizuri biashara hii ipo vipi. binafsi sifahamu imekaa vp ila natamani sn kufanya biashara ya kununua dhahabu kwenye migodi hapa tz na kwenda...
Wapendwa bandugu na bajamaa habari za majukumu...!
Kwa furaha na upendo karibuni sana tusherekee kwa kujipatia kuku bora kabisa wa kienyeji kwa ajili ya kitoweo cha sikuu za x-mass na mwaka mpya...
nimeamua kujiajiri kama hivi:
tunatoa huduma za ICT mfano; computer maintenance,kusupply computer na vifaa vyake vyote,software development,website design and hosting,printing,IT support and...
Gari aina ya Toyota Hiace inauzwa. Ipo Dar es salaam na Iko kwenye hali nzuri sana. Ni ya mwaka 1996, Engine ya Diesel, ina viti vya kukaa watu 17, na imesajiliwa kwa Biashara. Mwenye kuihitaji...
Habari zenu wakuu!
Tafadhali naomba msaada wa kujuzwa
Ni aina ipi ya pikipiki(bodaboda) inafaa kwa biashara ya bodaboda, ukiangalia uimara, matumizi mazuri ya mafuta na mambo mengine.
Nataka...
Mimi ni kijana nina hamu sana ya kufanya kilimo maeneo ya Bungu - Rufiji lakini kwa kujikongoja. Nina ekari zaidi ya 10 ambazo ninaweza kuanzisha kilimo fulani kizuri. Nakuwa na wakati mgumu sana...
wadua natanguliza shukurani, kwa wale wenye weledi katika mambo ya kilimo cha mananasi. nahitaji kujua gharama ya kupanda mananasi kwa heka moja ni kiasi gani.
kwa maeneo ya Bagamoyo. hii...
wakuu heshima ziwafikie popote mlipo, nahitaji msaada tajwa hapo juu....wapi naweza pata studio lights kit nzuri? nielekezeni mkuu hata kama mnayo pia mnaweza nipatia taarifa
iwe na miamvuli...
Wana JF, mimi ni mwanakijiji wa Kivinja B. Nina viwinja vya makazi na kuna jirani zangu wengine wana ardhi inayofaa kwa kilimo na hata kuwekeza kufaa mifugo shule na mipango mingine kutegemea na...
Wakuu niko Mbeya mjini naomba mtu yeyote anayefahamu sehemu naweza kupata shamba la kukodi kwa ajili ya kilimo cha mazao ya msimu hapa mbeya na wilaya zake kwa sasa anisaidie.
salaam sana wakuu.
niko moshi machame nataka nijue kama kwa hali ya hewa ya huku hayo mazao ya pareto kama yatastawi na soko lake likoje na je kama hilo zao lina athari zozote kwa aridhi.
Wakuu ni kweli kabisa kwamba swala la capital limekuwa gumu sana hasa kwa new starter, na benki nyingi haziko tiyali ikuwakoposha fresh business man, wanapenda ambao wameisha anza na kikwazo...
Habar wanajamii,
Kama kilivyo kichwa cha habar, mimi ni mjasiria mali mchanga, nilikua na kiasi kidogo cha pesa nikaamua kuanzisha biashara ya kuuza chakula ila nimemkabidhi msichana ambaye...
My wife has 20m cash and is looking for lucrative business idea, originally she had thought doing micro-finance business but she is afraid or risks involved.
Is there any one with business idea...