SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS
Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:
1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.
2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui...
Habari za wakati huu wana JF, natumai mu wazima wa Afya. Mimi ni mgeni humu nimejiunga mwaka huu. Kuna vitu vingi nilikuwa sivijui nashukuru kwasasa kiasi naelewa.
Napenda kushukuru kwa uongozi...
Habari zenu wakuu, wakubwa shikamoo, wadogo zangu mambo niaje.
Kwa miezi ya hivi karibuni since July, 2024 nimekuwa mfatiliaji mzuri tu wa majukwaa ya JF, ilianza kwa kusearch "Elimu Tanzania"...
Hallo wana JF. Nimejiunga leo na hii forum lakini nimekuwa mfuatiliaji kwa muda.
Naamini mchango wangu utaongeza, japo kidogo kwenye mabadiliko ya fikra na hazina ya ujuzi kwa...
Habari ya wakati huu mabibi na mabwana.
Baada ya kuingia mtumiaji wa jamiiforums bila account kwa kipindi kirefu hatimaye leo nimejiunga rasmi.
Asante.