Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Jaman mimi naitwa Son boy naombeni mnikaribishe kwa makofi matatu pa pa pa asanteni sanaaaa
1 Reactions
4 Replies
238 Views
Eti naulizia, chumvi ni shingapi huko kwenu imepanda kwa shingi 50.
4 Reactions
21 Replies
417 Views
Hamjambo member wote wa JF? Mimi naitwa inch 9, mwanachama mpya mkongwe wa JF nichukue fursa hii kumshukuru Mungu wangu pamoja na wale waliofanikisha kunileta duniani. Awali ya yote napenda...
17 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari zenu humu jukwaa hili la utambulisho. Nilikuwa na uwezo wa kuposti jukwaa lolote ila nikaona si vyema na si jambo la busara kupost bila kupitia huku. Naomba mnikaribishe na mnionyeshe...
14 Reactions
187 Replies
3K Views
Habari ndg, jamaa na marafiki, nitakuwa Rayns kwa humu, naombeni mnipokee kama member mwenzenu, nitafurahi mkinielekeza pia namna ya kuishi humu, kuna watu pia na wafahamu kwa taswira ya kufikiria...
3 Reactions
5 Replies
742 Views
Bila kupoteza wasaaa, Mimi Heyyouyoungman ni mgeni hapa jamii forum, japo nakili kuifahan JamiiForums toka mwaka 2010 nikiwa kidato cha pili katika shule moja wapo huko Rukwa. Nimekuwa nikisoma...
4 Reactions
8 Replies
865 Views
:behindsofa: mm ni mgeni ,sijui nilipoingia ni penyewe.
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Habarini humu ndani, Nimeingia kuweza kujijenga zaidi, mimi ni mpya naomba mnipokee
3 Reactions
16 Replies
304 Views
Nsaba munwanirize, nze mmemba omuggya okuva ewa jjajjammwe Museveni nga nva e Matukula, Uganda
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Hello wanajamii am new member, naomba ushirikiano nanyi[emoji106]
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba kufahamu ni nini nachotakiwa kufanya ili kuweza kupost posts nzuri hapa. Napenda kujiona kama mhamasishaji wa uongozi bora hasa kwenye ngazi za chini, nikimaanisha uongozi wa jumuia ndogo...
1 Reactions
4 Replies
193 Views
Habari za humu wakuu. Nimerudi tena naomba mnipokee.
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Jamiiforum pekee ndio Kuna watu wanaojitambua sana, hongereni sana Wana jf.
8 Reactions
16 Replies
489 Views
nafurahi sana kujiunga na great thinkers n i hope mtanilea vyema cz me bado mchanga humu. nawapenda wote.
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Hey guys mi ni mgeni humu jf, nlikuwa nikiifatilia kwa kusoma tu siredi na comments ila leo nimeamua kijifikia ndani, hope ntakaribishwa vizuri
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu wanajf naamini mtanipokea vizuri wanajamii
2 Reactions
9 Replies
2K Views
1: Hello humans. My name is Benzie. Mercedes Benz. Iam six months old. Iam a girl. Naomba mnipokee na mnipe nafasi ktk mtandao wenu huu bora kuliko yote hapa Tz🙏🏼🙏🏼. Lengo la kujiunga hapa JF...
18 Reactions
103 Replies
3K Views
Hello everyone my name is Samantha Lewthwaite am thrilled to join JamiiForums today,I was a guest almost 6 years back but I decided to join today after being limited to view thread AKhsante...
21 Reactions
254 Replies
4K Views
Me ni mgeni sina kamba ila wengi walikuwa wananifaham kama chaka la wakubwa jamani hii ni account yangu mpya
3 Reactions
9 Replies
424 Views
Wakuu habari za siku nyingi humu jukwaani, ninaimani wote ni wazima wa afya na awali kabla ya yote napenda sana nitoe pole kwa members wote tuliokuwa nao na leo hii hawapo humu jukwaani ama ni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom