Habari ndugu zangu, poleni na mihangaiko ya siku.
Ni muda mrefu nimekuwa nikisoma michango yenu kupitia majukwaa mbalimbali, nimekuwa nikijifunza kupitia elimu muitoayo, nimekuwa nikifurahi pia...
Kwanza ninafuraha kujiunga nanyi hapa.
Jamiiforms ni mtandao wangu pendwa kwa muda mrefu nilitamani sana kujiunga hatimaye leo nimefanikiwa nipokee wakubwa.
Habari zenu wana Jf?
Mimi ni mwanachama Mpya, Ni kijana....
Nimefungua akaunti yangu leo hii hii, Nimefurahi kujumuika nanyi, Tutakutana huko kwenye nyuzi tofauti tofauti..
Ahsanteni!!
To be honest
Mpaka sahivi nawaza zile chupa 1000 nusu lita ya mafuta yaani lita 5000 za p.diddy
Yani imenifanya kichwa kigande
Mpaka nikitembea barabarani nikikutana na mwanaume mweusi naona...
My solemn salute to my seniors, Maxence Melo, Nyani ngabu and others.I strayed to the forum via the now defunct kenyanlist in the late 2000s.
Its been over 15 years being a visitor.Maybe i missed...
CCM oyeee!!
Samia juuuu!!
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
..!!
Naitwa Paul John.
MwanaCCM nayejua thamani ya Utawala wa Mama Dokta Samia Suluhu Hassan katika...
Wapendwa amani ya mungu iwe nanyi. naomba mnipokee nawapenda nyote. heaven on earth, evelyn salt,miss chaga napenda kuwa karibu na nyie sana. farkhina unanfurahsha sana hasa kwnye mambo ya mapishi...
Hadi hadi! Mimi ni mgeni humu ijapokuwa nimekuwa naangalia kwa mbali yale yanayojadiliwa humu. Nimeamua sasa kujiunga ili pia niweze kuchangia mada na kutoa mada pia.
Kama jina langu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.