Hodi wanajamii! 👋
Naitwa Oscar Ndayi 🇧🇮, Mrundi kwa asili lakini kwa sasa nipo nchini Indonesia 🇮🇩 kusoma (Doctoral Student) katika Programu ya Tathmini ya Miradi (Program Evaluation), Chuo Kikuu...
Waungwana!
Hapa ni mahala ambapo waungwana hukutana kwa lengo la kujadiliana,kuelimishana,
kuonyana,kukosoana,
kupongezana,kupeana ushauri na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali kwa njia...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa TANGANYIKA na Zanzibar.
Mgeni mimi, hii nchi naipenda sana😥.
Natafuta Mchumba aambatane nami katika haya Mapenzi.
Ahsanteni kwa uwepo wenu.
Ndugu zanguni wajuvi, wadadisi na wengineo,
Mie ndugu yenu Kiranga cha Ngeda wa viunga vya bandari iso salama, Kiranga wa upande wa Mbwamaji, Kiranga wa Mkuranga,kakae Muamini na mwana wa Fundi...
Habari za wakati huu wadau,
Kiredio amekuwa mfuatiliaji wa forum hii kaa kipindi kirefu na sasa nimeamua kujiunga rasmi.
Naamini JF ina watu smart na wenye upeo mkubwa wa kuchangia na hata...
Nikiwa siku kadhaa sijaonekana kwenye huu mtandao wangu pendwa wa jamii forum kutokana na majukumu yangu magumu ya kitaifa na kimataifa,Sasa nimerejea tena hapa jamii forum Kwa energy yangu kubwa...
Habarini jamii forums nipende kujiunga nanyi katika jukwaa hili adhimu kushiriki na kuleta mijadala yenye tija Kwa taifa na jamii Kwa ujumla
Ikiwa na lengo la Kulinda Amani mshikamano na umoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.