Habari zenu Ba Ndugu Baada ya Kusoma sana Jamii Forums Bila Kujisajili Hatimaye Nimekuja.
Mimi Mgeni Naombeni Mnipokee.
Nimevutiwa na Nyuzi Nyingiii Humu, Umughaka, Mshana jr , Mtibeli , Controlla...
Habari zenu jamii forum members, aisee nilikuwa nikifuatilia jamii forum Kwa muda mrefu tangia mwaka 2012 , yaani miaka 12 iliyopita, japo am new member here.
NIMEJIFUNZA MAMBO MENGI. Na nimeona...
WAKUU HESHIMA SANA KWENU:
Nimekua msomaji humu jf miaka takribani sita ila now ni mwanachama haiiii..humu ni vile sijasomeka persnlty yangu kwa kuwa sikua rasmi ila character za members na...
Mu hali gani wana JF
Nimehamasika kushiriki mijadala pamoja nanyi
Nimehamasika kuelimika kupitia JamiiForums
Nimehamasika kuheshimu kanuni na sheria za jukwaa
Nimehamasika kuwaheshimu nyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.