Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
My Name is John Sule. A Bachelor of Science in Cyber-Security Student at The Institute of Finance Management(IFM) ....A Web developer with passion for creating beautiful and functional websites...
3 Reactions
12 Replies
659 Views
Nawapenda JF...maisha yapo tu. katika maisha wana jamii forum wamnitoa kwenye upweke na kuwa happy manytime ..thanks everyone inside
2 Reactions
5 Replies
418 Views
Mimi mgeni naombeni mnipokee npo Dar Gomz
1 Reactions
6 Replies
444 Views
Hello.. JF members, mimi ni mgeni wenu mpyaa naomba mnipokee, kutoka dom
0 Reactions
11 Replies
587 Views
Utajuaje kama unachitiwa na mpenzi yaan zile stage ambazo za kushtuka kma mpenzi wako
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari, Nimefurahi kuwa sehemu ya jukwaa hili. Natarajia kusoma nyuzi kadhaa nzuri.
0 Reactions
7 Replies
546 Views
Hodi mim mgen
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Hii
Hii
2 Reactions
6 Replies
317 Views
Habari JamiiForums, Mimi ni mgeni, naomba kupokelewa humu.
3 Reactions
7 Replies
507 Views
Niaje wakuu JamiiForums mitano tena nimelipenda hili chama limenifurahisha nimeamua kujiunga nalo sina mengi.
5 Reactions
10 Replies
469 Views
Hello group, I am a new entrant!
4 Reactions
14 Replies
774 Views
Habari JF members, naomba mnipokee.
2 Reactions
10 Replies
618 Views
Nawasalimu kwa Jina la Mungu mwenye Rehema na upendo mkubwa! Wana JF nimeingia Hapa kwenu leo nikigonga hodi Katika milango ya Mawazo yenu. Nipokeeni kwa Moyo mkunjufu na Upendo kamili!
3 Reactions
9 Replies
543 Views
Hellow naitwa linyimuka ni mtaalamu wa masuala ya mahusiano na ukaguzi
2 Reactions
8 Replies
391 Views
Mimi Mgeni humu, naomba kupokelewa. Nina asili ya uandishi, utafiti na uanasiasa. Nitakuwa nanyi katika mambo yote yanayohusiana na haya. Ahsanteni.
5 Reactions
7 Replies
529 Views
Hello guys, Nashukuru kupata nafasi ya kujiunga pamoja nanyi katika jukwaa hili, nimatumaini yangu nitajifunza mengi mazuri kutoka kwenu hasa kwenye Siasa, ushauri, urembo na mengine mengi. Shukrani
3 Reactions
10 Replies
344 Views
Mimi ni mgeni humu kutokea maeneo ya Mo Arena Bunju. Namtafuta mgonjwa wangu muhimu sana tulipotezana uwanja wa taifa baada ya goli la pili kufungwa baina ya Simba na Yanga. Sijui yu hali gani...
2 Reactions
9 Replies
591 Views
Am new member
1 Reactions
13 Replies
519 Views
Hatimae nami nimefika humu ndani mpo jamani nimetokea Facebook, napatikana mlandizi Kijiji Cha Masangu kata ya magagura Mkoa Ruvuma
4 Reactions
39 Replies
1K Views
Habari wadau kwa majina kamili naitwa Hussein Mohamedi Bendera natumia Nyanda Banka kama nickname
2 Reactions
5 Replies
550 Views
Back
Top Bottom