Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hakuna jipya
0 Reactions
6 Replies
407 Views
Habari za wakati huu? Ninatumai wewe unaesoma ujumbe huu ni mzm wa afya ila kama una changamoto ya kiafya pole sana Mwenyezi Mungu akupe wepesi, mie ni mgeni humu na ni Mwanasheria...
1 Reactions
5 Replies
659 Views
Habari zenu wakuu mimi ni fundi friji, nafurahi kujiunga nanyi. Natumaini kujifunza mengi.
1 Reactions
4 Replies
327 Views
Habari za muda huu wana JF. Hongeren kwa majukumu na Mungu awabariki sana.
1 Reactions
12 Replies
861 Views
Habar zenu wakuu naitwa anania monge nimerudi naomba mnipokee
3 Reactions
15 Replies
623 Views
hi,chief wa wanyamwez ni member mpya humu ndani
1 Reactions
12 Replies
760 Views
Hi
Mgeni hapa
1 Reactions
7 Replies
510 Views
Hello wana Jamii. Nimekuwa nikisoma majadiriano mengi ya wana Jamii forums kwa mda wa miaka mitano sasa. Ila karibuni ndiyo nimeamua kujiunga rasmi nami niwe mmoja wapo wa wachangiaji na kuweza...
3 Reactions
6 Replies
463 Views
Wakuu habari za humu, naomba mnikaribishe humu JF tuendelee lisukuma jurudumu
2 Reactions
8 Replies
377 Views
Ni sawa tu. Najitambulisha
2 Reactions
13 Replies
572 Views
Naitwa Comrade Ally Maftah 1. Ni rafiki wa wote 2. Mwanasiasa wa Jiji la Mzizima Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Mjumbe Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam 3...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Hi
Habari wana jf, me mgeni humu jamvini, naomba ukaribisho wenu
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Habar JF members, mimi ni mgeni wenu mpyaa naomba mnipokee, nipo Morogoro
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Naomba kukaribishwa kwenye jukwaa hili kama muandishi wa masuala tofauti tofauti ya kijamii!!
2 Reactions
6 Replies
344 Views
Mimi mgeni Naomba ushirikiano wenu Asante!!
2 Reactions
19 Replies
574 Views
Hope tutabadilishana mawazo lengo ni kujifunza nawapenda wote.
0 Reactions
15 Replies
374 Views
Napenda kumchukua fursa hii kujitambukisha kwenu Wanajamii kwamba nami nimejiunga katika jukwaa hili kubwa la maarifa, elimu na kifikra.
4 Reactions
15 Replies
620 Views
Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Kipekee hii ni mara yangu ya kwanza kufungua account katika mtandao huu wa jamii forum. Wakuu naombeni ushirikiano wenu kwa kipindi chote takapo...
1 Reactions
4 Replies
433 Views
Ndugu zangu. Ninayo furaha kujiunga rasmi kwenye hili jukwaa langu pendwa. Nitashukuru kwa kupokelewa humu ndani.
2 Reactions
9 Replies
438 Views
Wakuu mm mgeni kwene huu mtandao Ndo nimejiunga leo jF ushauri
9 Reactions
149 Replies
4K Views
Back
Top Bottom