Nimeingia kwenye mji huu wa kidijitali ila kabla hata siku haijaisha nimeona ni uungwana kuwasalimu kwanza wenyeji.
Nimekuwa ni msomaji wa muda mrefu wa jamiiforums katika majukwaa kadhaa ila...
Wakuu za sahizi,
Mimi babu yenu nimeamua kujiunga nanyi leo, hii
Baada ya kuuona huu mtandao ukipewa support kubwa sana na watu mbalimbali
Mimi nime staafu kazi X niliyoitumikia kwa mika 35...
Nawasalimu kwa jina LA jamuhuri wa muungano
Me Nimgeni jamvinii naombeni mnipokee mnipe ushirikiano.
Napi napenda kuwa kumbusha, Baadhi ya watu wanao kejeri wenza wanapo leta nyuzi zao...
Hodi humu!
Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:
* Mnaotaka kunifahamu...
Wandugu imenilazimu kuingia humu, maana nimekuwa kimya kwa muda mrefu lakini sasa nimeamua. Na imenipasa kufanya hivyo kutakana na hasira ya kukosa umeme. Kwa kuwa kazi za ofisi haziendi wala...
Habarini wakuu,
Mimi jina langu, ni San na ni mgeni wa hapa JF.
Lengo langu la kujiunga hapa ni kutaka kupata maarifa na ushauri kwa baadhi ya members wa humu na pia ninapenda sana kusoma riwaya...
Nimependa kujitambulisha kwenu wadau wa jamii forum mm ni mgen nimejiunga nanyi humu ili tuweze kujadiriana,kujifunza,kuhabalishana habari mm naitwa minji
Hello guys,
Nimekuwa nikiifuatilia JamiiForums kwa kipindi kirefu, lakini ilikuwa ni kupitia kwa Mitandao yake ya kijamii, but now here i am. New member of this Forum.
habari yenu ndugu zangu
WASIFU
A Man, miaka 27, im an occupational Therapist by professional pia ni mwanafunzi kwa sasa.Arsenal “the gunners fan”..ATHEIST kwa itikadi..STOIC kwa falsafa. HUMANITY...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.