U hali gani msomaji? Pole na majukumu ya hapa na pale ya shughuli zote za ujenzi wa taifa
E Motherland ni ID mpya inayomilikiwa na mimi mwandishi (Jina kapuni) ikiwa chini ya uangalizi mzima wa...
nawasilimu nyote.
Nimejiunga nanyi kwa mambo mawili muhimu.
Kwanaza, kuchota elimu, ujuzi na marifa katika nyanja zote kijamii, kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa.
Maana kwa muda mrefu nimekua...
Kwanza nmekuwa nikiona na kuskia mengi mazuri ya humu ndani JF kupitia rafiki yangu nikashawishika, naombeni MNIPOKEE tushirikiane kwenye ushauri, fursa, urafiki, story za hapa na pale n.k
Hodi humu ndani.
Mimi ni mkongwe wa Jf ila nimekuja kutambulisha ID yangu mpya naombeni ushirikiano wenu.
Loading failed
Error has occured due to insuficient balance.
Salaamu [emoji4]
Me ni kijana wenu nimo humu kwa muda sasa ila nilikuwa sijajitambulisha naomba mfanye kama ndo mnanipokea wakuu sina mishe yoyote nnayofanya msijeniuliza kazi yangu :D ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.