Ndugu zangu nawaomba mnikaribishe mgeni katika jukwaa. Nmekuwa mwanajumuia kwa kuchungulia tu lakini sasa nimevutiwa kuwa mwanachama hai. Asanteni sana.
Ni mda mrefu nimmejiunga but hii ndo my first post, I hope ntaongeza chochote ,kwenye vichwa vyenu, na maisha kwa ujumla, . Na me pia nitaongeza ila nshaongeza Sana ni muda wenu was kuongeza...
Salaam wakuu natumaini humu nyote ni wazima wa afya.
Kwa sasa jina langu nililokuwa nalitumia mwanzo la Mohamedex121 nimeamua kulichange na sasa mnaweza kunipata katika threads kama Mohamed...
Habari wana jf naomben mnipokee katika ukurasa huu pendwa wa jamii forum mnielekeze ndugu yenu yale nayostahili kuelekezwa ili tuweze kushirikiana vizur katika mambo yetu ya jamii
Naitwa termux from (Tanganyika) Darusalaam Tupambane kwa ajili ya Tanzania bora na ya wazalendo.
•Nina furaha kujiunga na JF
Tanganyika kwanza (Tamaduni zetu na maadili yetu )
#Dini zilikuja...
Holla wakuu,
Nimerudi tena Jamii Furum, since 2017 finally leo ndio na Login naomba ushirikiano wenu, wakuu, by professional ni FUNDI UMEME karibuni pia naomba mnipokee.
Habar ya wakat huu wapendwa mimi ni mwanachama wa jf nilikuwepo muda tangu 2021 lakin sijajitambulisha kwenu...naombeniii mnipokeeee na ni fresh graduate natafuta internship ilii kupata experience...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.