Habari members wote humu, naitwa Emmanuel wa Arusha, me mgeni humu ndani. Nimelipenda hili jukwaa, lengo likiwa ni kubadilishana mawazo nanyi pamoja na kujifunza kutoka kwenu.
Jamani wanajamvi mi ni mgeni ninaomba tushirikiane sote katika mijadala, mahojiano, maswali na matukio ya kila siku ya kitaifa na kidunia.
Salamu kwenu nyote.
Kwanza nitangulize samahani na pia wasinichukulie vibaya wahusika wa jamiiforums.
Kikubwa ni kutaka kujua ni kivipi mimi naweza kufaidika na kuwa katika huu ukurasa je kuna reward yoyote naweza...
Habari wakuu nilipotea kitambo sna sasa nimerudi lkn natumia account mpya sasa ile ya mwanzo nilisahau pasward so naomba ushirikiano wenu[emoji120][emoji120]
Kaka na dada zangu,
Baba na mama zangu,
Bibi na babu zangu,
Wajomba na Mashangazi zangu,
Wadogo zangu wote. Heshima kwenu.
Mimi nimejiunga hapa jf baada ya kusoma kama mgeni kwa muda kidogo...
Wakubwa kwa wadogo Leo nimeona RASMI inanibidi kujiunga na jf kwa ajili ya kuzidi kujifunza mengi zaidi na kuburudika . Naomba ushirikiano kutoka kwenu[emoji120]. Shukrani za pekee ziende kwa...
Hodi bandugu
Nawasalimu kwa jina la tanzania me mgeni wenu naombeni mnikaribishe ndani ya nyumba yenu Bora kabsa tanzania mzima.
Nyumba yenye wazee wa busara na vijana wengi wa hovyoo, me ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.