Habari wana JF,
Member mpya nipo Uturuki kwa wale watakao kuwa na shida ya kuniagiza bidhaa karibuni pia tuunganishane me ni mwanafunzi huku na pia mtafutaji kwa wale wanaotaka kusoma na kuuliza...
Alitunga stori na kuiweka Whatsapp, ambapo stori hiyo iliwagusa sana wasikilizaji walio isikiliza, baada ya siku 2, alijikuta anapitia mwanzo kama alivyo andika stori ile.
Siku saba baadaye...
Baada ya kua msomaji wa nyuzi mbalimbali kwa takribani miaka 12..Leo kwa hiyari yangu mwenyewe bila kushurutishwa na mtu nimeamua kujiaunga rasmi JF ..
Habari zenu wakongwe wa JF?
Nimekuwa nikifuatilia JF toka 2013 kwa kupitia freebasic bila kujibu hoja. Nimenufaika sana kupitia hoja za members wa JF, kwa kipindi cha 2013 mpaka 2023 sikuwa na...
Mimi ni mgeni nakuja kwenu kwa unyenyekevu wa hali ya juu sana, kuomba msaada wenu wa kunikaribisha.
Nitashukuru sana kama mtanipokea na kunielekeza njia zakupita.
Habari zenu wakuu.
Mimi Nina miaka 23 nina mpango wa kuanza maisha Dar ila sijawahi kufika nilikuwa Nina omba ushauri maeneo gani ya dar yenye vyumba vizuri vya 30000 au chini ambavyo sio...
Habari wana jamii, mi ni ndugu yenu mpya, naomba mnipokee
Lakini pia ni job seeker, kwa yeyote mwenye connection ya kazi au anaweza kunisaidia kwa namna yeyote naomba tuwasiline.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.