Hello,
Nashukuru kwa nafasi ya kujiunga JF. Nimekuwa ndugu msomaji na mtazamaji nikielimika na kuwa mnufaika wa makala maridhawa za forums mbalimbali pasi na kuwa member rasmi.
Hopefully hii...
Machaliii niaje new member
Here ni mwanafunzi wa chuo na tech guru
Na mpango wa kui hack jf maana maxence melo hayupo serious na maisha ya watu humu
Nipeni applaud mtumbad
Natania lkn...
Naitwa martin michael muhumba a.k.a mmmuhumba. Ni mwandishi mjasiriamali wa tawasifu, makala za mahusiano, mtunzi wa ujumbe kwa mpenzi (love sms), mshauri wa mahusiano na mtoa elimu ya mahusiano...
Habari zenu watanzania wenzangu.
Kwa jina naitwa mangi shangali,Leo hii nimejiunga na jamii forum,mtandao wa kijamii mkubwa kuliko yote Tanzania,naombeni mnipokee.
Pia naombeni mnipe muungozo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.