Naitwa ye34nbe nimechukua muda wa miezi 2 kujiunga jf Kisha moderators walikuwa wananikataa anyway walinikubalia 4/11/2022 bila Mimi kujua anyway I'm here now nimejua hilo leo hii
Nimekuwa mfuatiliaji wa JF takribani miaka 8 bila kuwa member rasmi.
Nikinunua simu mpya,app ya Kwanza kudownload ni JF
Nkitaka kuingia mtandaoni kujua dunia inaendaje,cha kwanza kuchungulia ni...
Wadau mambo vipi,. Poleni na mihangaiko ya kila cku maana life liko tight kinoma.
Mimi hapa genius kipanga nimekuja jamiiforum kwa lengo kuu moja kutetea CCM na YANGA. Naomba ushirikiano wenu...
Habari za humu ndani, mimi ni mgeni hivyo naomba ushirikiano wenu.
Nimekuwa nikifatilia JF kipindi kirefu bila kujiunga, ila leo nimeamua kwa akili zangu mwenyewe kujiunga ili;
1. Nikosoe pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.