Heloow wakuu ndugu zangu.. ni mda mref sana... Najua weng mnajiuliza mwaamba mbona haonekan.. ila ndo hvyo dunia ina mengi hii jaman . Furukuta furukuta waapi..
Enewei.. watesi wangu najua...
Ni takribani miaka mingi, tangu nijulishwe habari za "Jamii Forum " na rafiki yangu nikiwa chuo japo muda wote huo, sikuwahi kuwa member wala kuwa na App ya jamvi hili. Japo nilikuwa mshiriki bubu...
Habari wakuu
Mimi ni mwenyeji JF najitambulisha tu kwaajili ya kufahamu wageni. JF ina majibu ya kila swali katika uhalisia wa maisha ya kitanzania/kiafrika.
JAMII FORUM>GOOGLE
Naitwa sir bangaler, ni mgeni humu ndani naombeni miongozo ya kutumia katika kuchangia na kujenga hoja, asante.
Sent from my SM-J106F using JamiiForums mobile app
Baada ya msomaji mgeni tangu 2014 kwa kuburudika na nyuzi za kula tunda kimasihara,mazingira hatarishi kufanya mapenzi na kadhalika.
Hatimaye Leo nimeamua kuwa member niliye hai kabisa naomba...
Habari za majukumu ndugu zangu wana jf. Nimejiunga jf kama member mpya na naona ni vyema kujitambulisha na kuomba ushirikiano wenu. Naamini penye wengi pana mengi. Niliwahi ku-readover jf miaka ya...
Habari kila mmoja,
Nimekuwa nikipitia baadhi ya nyuzi za JF kwa mda sasa nimekuwa nikipata majibu ya maswali yangu, sambamba na vicheko, maana kuna members humu wana excellent sense of humour na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.