Jambo everybody here!
I joined this forum long ago but because I don't know kiswahili, I never thought of posting something, however I am trying my best to learn Kiswahili.
Well, I am zazo...
Nimekuwa mfuatiliaji wa JF kitambo. Na kiukweli nimejifunza mengi nimeburudika na nimeona umuhimu wa kushiriki kama member.
Hatimaye leo nimefanikiwa . Naomba mnipokee wana JF hasa GTs. Mungu...
Habarini wakuu, poleni na kazi za kuongeza kipato na kujenga nchi yetu. Mimi ni mgeni humu naombeni mnipokee na mniunge ninapitoa bandiko lolote. Sijakamilika nahitaji michango na ushauri wenu wa...
Habarini za humu jukwaani ndugu zangu.
Mimi ni member mpya humu ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu kidogo humu jukwaani.
Hope mtanikaribisha kwa bashasha tele ndugu zangu wenyeji wa humu...
Hello smart but kubwa nina ujumbe kwa ajil yenu wote
Na anza n wakubwa heshm zenu mbarikiw
Wadogo pia heshima zenu
Aijawai kuonekan kutotokea kuja Kwak ww msomaj kit ambcho n kigeni achan n...
Habari wakuu, ni furaha iliyoje kuwa mmoja wa wanajamiiforums. Natumai utakuwa mwanzo wa kuhabarika, kujifunza, na kushirikiana kwa namna moja au nyingine. Nisiwachoshe, asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.