futi 6 kutoka pande za a town nawapa salamu za kunipokea humu ndani .... najishugulisha na useremala na huwa napenda sana kuingia humu kuperuzi lakini leo nimeamua niwe mshiriki kwa kufungua...
Kwa Kiingereza hodi unasemaje??
Anyways hodi humu jamvini. Mimi new member naitwa Afrocentric, kwasababu sijawa brainwashed na propaganda za Wazungu, Wachina, Wahindi, Waarabu n.k.
Wasalamu wapendwa wangu wa JamiiForums,
Nimekosekana jukwaani kwa miaka kadhaa hii ni kutokana na mihangaiko ya maisha yaani maisha yalinipiga plus magonjwa kiasi cha kukosa smart phone.
Kwa...
Habarini wapendwa kwa mara nyingne Tena! Ikumbukwe " Utajiri wa mtu ni watu" [emoji3526] naombeni sapoti yenu kwenye Andiko langu la " Afya Bora Tanzania" kura yenu ndo ushindi wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.