Habari za wakati huu wakuu,
Mimi siyo mgeni sana wa jukwaa hili japo huwa nasoma tu, its almost a 2yrs lakini sasa nimeamua kuwa member kamili.
Nawatakieni weekend njema na ya baraka.
Habari,I hope mu wazima wa afya
Mimi ,ni new member pia mfanyabiashara wa simu, haswa Samsung (refurbished) tutafutane kukiwa na mahitaji,nitapost thread ya aina za simu nilizo nazo pamoja na bei...
Habari kwa wakongwe na wageni wa jukwaa hili (JF), baada ya kuzunguka huko duniani kwa miaka mingi leo nimeona rasmi niingie humu na kuwa mwanachama rasmi.
Nawapongeza members wote ambao kupitia...
Habari za Maisha wana Jukwaa.
Chuo cha Maji, kilichopo Ubungo University Road tunaomba kupokelewa katika familia ya Jamiiforums. Tumefungua account hapa ili tuwe karibu zaidi na wadau wetu katika...
Habari wakuu nimefurahi kweli kujumuika na nyie nimeshindwa kuandika mengi vidole vinauma kwa kutype I hope tutakuwa pamoja katika mada mbalimbali jukwaani
Nimekuwa JF kwa muda ila bado najihisi mgeni
Nimepita kwenye nyuzi mingi kidogo
Ila sasa sio shida nimepotea njia
Nikaribishen upya[emoji23][emoji23][emoji23]
Nioneshen mitaaa
Ya connection za...
Salamu wana JF.
Natumai mu wazima
Mimi ni kuku mgeni hivyo siwezi kosa kamba mguuni.
Naomba ukaribisho na kuelekezwa namna ya kuishi humu kwa umoja,furaha na upendo.
Hivyo naomba kuelekezwa...
Kwanza nianze kwa kuwasalimia wanachama wenzangu wa jukwaa hili
Mimi sio mgeni sana Nakumbuka nilijiunga na JF miaka kama 8 iliopita ila nilisahau neno siri langu.
Kwasasa mambo yapo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.