Mimi ni DALALI ninaewasaidia Wauzaji na Wanunuzi wa Nyumba, Viwanja pamoja na Mashamba kuwakutanisha pamoja ili waweze kufanya biashara kwa haraka zaidi, Nipo MWANZA mjini ila nafanya kazi popote...
Nimekuwa msomaji wa Jamiiforums kwa muda mrefu ila leo nimebofya kitufe cha register (kujisajili), nami kwa sasa ni mwanachama wa hii platform kubwa ya kitanzania.
Naombeni mnikaribishe, mnipokee...
Hamjambo wanangu wazuri Mama yenu nimekuja humu kwa lengo moja tu la kutafuta wateja wa bidhaa zangu nipokeeni wanangu na naomba ushirikiano wenu wanangu wazuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.