Wana jukwaa hamjambo ?
Jaman mimi mgen hum ndani natumaini mtanipa taratibu za hum jukwaani
nini napaswa kukisema na nini sipaswi kukisema
Asanteni wote natumai niko kwenye mikono salama
Habari zenu wanajamvi, nimo humu tangu mwaka juzi ila nilikuwa bado sijajitambulisha kulingana na sababu zangu binafsi, leo nimeona nichukue fursa hii kujitambulisha rasmi.
Naombeni ushirikiano...