Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Ni fahari kuu kwangu, kupata jukwaa kama hili, where the truth is dared to be spoken.. tafadhali mnipokee.
2 Reactions
7 Replies
941 Views
Hodi humu! jukwaaa la waungwana nafkiri krismas itakua njema kwangu ss nikiwa humu nawatakia siku njema!
0 Reactions
9 Replies
791 Views
Jamani nimeambiwa nije huku eti huku ndio JF.[emoji15]
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Salaamuni
0 Reactions
4 Replies
565 Views
Naomba mnipokee katika forum hii ili tuweze kuliendeleza gurudumu katika mijadala mbalimbali
0 Reactions
2 Replies
636 Views
Mi mgeni naombeni company yenu
1 Reactions
6 Replies
853 Views
Hello, mimi ni KE, sio mgeni humu ila nilikuwa naingia kama guest leo nimeona na mimi nifungue account. Mimi ni mdau katika masula ya Elimu na Siasa. I hope we will cooperate. [emoji5][emoji5]
0 Reactions
13 Replies
1K Views
habari zenu mabibi na mabwana! me mgeni sapoti yenu muhimu sana. Mbarikiwe nawapenda sana
2 Reactions
13 Replies
949 Views
Nimeamua namimi nijunge naombeni mnikalibishe
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu Nipokeeni mshiriki mpya kabisa Ila Jf irekebishe utaratibu, inachukua muda sana hadi account mpya kusajiriwa na kuruhusiwa kuanza kuchangia mada mbalimbali
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Mm mgeni asee japo sio sana Jinsia ME' Cooperation,solidarity na kubadilishana mawazo; kuelimishana Thank a lot............
1 Reactions
4 Replies
851 Views
I am new pls cooperate na mimi
0 Reactions
5 Replies
584 Views
Jamani hodihodi humu kambini nahitaji sapoti yenu jamani nimetoka facebook hakuna ishu nimeamua nije humu tubadilishane mawazo.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sina mengi naomba mnipokee
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kampuni yetu INATAFUTA MAWAKALA WA KUSAMBAZA BIDHAA ZAKE POPOTE ULIPO, tutakuunganisha na Mtandao wetu na Utapewa namba ya uwanachama au UWAKALA ndani ya masaa 24. KAMPUNI itakulipa kwa kima cha...
0 Reactions
1 Replies
672 Views
Usajili please [emoji34]
2 Reactions
2 Replies
646 Views
Nna kamba mguuni
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Hodi japo nilishawah kuwepo
1 Reactions
3 Replies
730 Views
Nimekuwa msomaji wa hii forum kwa zaidi ya miaka minne bila kuwa mwanachama. Leo najiunga rasmi ili nishiriki ktk kutoa na kupokea mawazo na fikra pevu. Nawaombeni mnipokee wadau. [emoji120]
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom