Hodi wana JF,
Nasi tunapenda kuingia katika ukumbi huu wa GT.
BB Pharma Consultancy Limited ni kampuni ya kitanzania inayotoa msaada wa kitaalamu katika masuala ya usajili wa bidhaa na huduma za...
mimi ni kjana/young age 21 bado mwana funzi naombeni muongozo wa humu JF ili niweze kwendana na maudhui sa hh bila kuhalibu chochote kile plz naomben muongozo
Baada ya kuperuzi katika hili jukwaa kama mgeni, kwa miezi kadhaa, hatimaye sasa nimejiunga rasmi ili kuungana na wenyeji mlioko humu. Ni matumaini yangu kuwa sitajuta kuwemo kwenye hili jukwaa.
Kweli nimeamin humu jf hakuna masikin kila mtu ni tajiri watu wanajinadi sana sa cjui na mm nijifanye matawi saana ili tuende sawa mana kila mtu anamwaga sifa ya tumilion milion imebak kawaida...
Habari zenu wakuu,
mimi ni mwanachama mpya wa jf,japo ni msomaji mzuri tu wa comment za watu bila kuwa mwanachama rasmi.JF imekuwa mtandao wangu bora wa kijamii tangu kitambo sana.Mnipokee na...
Samahanini kama nilivyowaeleza kua mi mgeni humu ko matumizi ya hii jf bado cjawa na uzoefu nashindwa kupost picha jaman tatizo ni nini au nifanyeje ili ni upload picha jaman nimeshindwa kabisaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.