Ndugu zangu mimi ni mgeni humu,ila nimekuwa nikiwasoma kwa muda wa miaka mingi tu,nimeamua kuingia rasmi,
Nawapenda wote
Sibagui Dini,Kabila wala Rangi.
Asanteni sana.
Hodii, habari za leo ndugu.
Leo ndo nimejiunga, naomba mnifundishe namna ya kutumia JF, naona vitu tofauti na mitandao mingine.
But all in all im happy to be in this site.